Utata kauli za viongoz wa elimu

mkananguja

Member
Joined
Jan 30, 2014
Posts
55
Reaction score
3
Haya ni maajabu nan tumuamini kwenye ELIMU?
PR.SMCHOME aliutangazia uma kuwa kiwango cha madaraja ya ufaulu kimenyumbuliwa, IKAPINGWA NA JAMII
HON:MULUGO akaikataa pale bungeni na HON:LUKUVI lakin kilichotokea ktk matokeo haya ya four 4 ni cha MCHOME
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…