Utata kifo cha Annele, mapya yaibuka...

Na ulemavu wake ule?

Vile vile, nakumbuka wakati kesi inaendelea Oscar aliacha kuvaa ile miguu yake ya bandia akawa anatembea hivyo hivyo akiamini atahurumiwa, lakini mama Madonsela alikaza uzi. Sema Reeva alikua mzuri sana, Pistorous alimkosea sana kumuwahisha kumtoa duniani
 
atakoma,wanashoboka sana na umaarufu wa hawa wajinga wajinga.

wewe mtu mnagombana mara kwa mara,tena magomvi ya kibabe.bado umo tu.
 

Unaamin aliona mwizi kweli
Au alikuwa na kisasi na huyo demu?
 
Alimuua kwa sababu gani?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…