Utata kifo cha hayati Abeid Karume

Baadae akasema Muungano kama koti, likikubana unalivua.

Saivi linawabana watu lakini kuna wachache hawataki kulivua
 
Kumbe tena hivyo.
Watavua tu
Kama Mama Samia mwenye hakuwasaidia Wazanzibari kulishona tena basi wazanzibari wenzangu tusahau! CCM Zanzibar wanatizama matumbo yao.

Tuliambiwa kuna maridhiano na mambo yatakaa sawa, hatimai uchaguzi mdogo Pandani umethibitisha kuwa CCM hawakutaka maridhiano bali walitaka KURIDHIWA WAO.
 
Pengine kuna sababu nyingi Ndo zinakwamisha jitihada za kuvua koti hilo
 
Asante sana mkuu, umedadavua Kwa kiasi kikubwa sana undani wa hili tukio nyeti
 
Ukisoma historia ya Karume huwezi kustaajabu ya Magufuli, ni mapacha kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…