SPANISH CP
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 465
- 230
Nimejaribu kugoogle,kusoma articles tofauti nimeona kuna maelezo tofauti kuhusu window period
kati ya wiki 8 hadi miezi 3 na kati ya wiki 8 hadi miezi 6.
Wataalam ipi ndo sahihi nataka kufunga ndoa kule tulikopima mwanzo imeshapita miezi mitatu,sasa sijui nifunge ndoa au nisubiri hadi hiyo miezi 6 iishe?