SPANISH CP
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 465
- 230
Mmh! Hilo swali ni gumu aisee! Kama wasiwasi wako ni kupata HIV, kunauwezako mkubwa wa hata iyo miezi mitatu ijayo mtu wako kuambulizwa endapo atasex na muathirika bila kinga!
So hiyo itakua endless question na itakufanya upime kila baada ya miezi mitatu kabla ya hiyo ndoa!
Otherwise uengeze nyama ktk maelezo yako kwa kujibu maswali haya:
Huyo mtu wako uko nae kwa mda gani?
Kwanini mkapime tena wakati mmeshapima?
huo ndo ukweli.funga ndoa tu ndg bahari ishachafuka hii. iwe miezi 6 au mi 3 haibadilishi hali. virus aweza pata hata siku ya harusi