Utata Kuhusu Rafiki yake Mangwea..Habari zingine zinasema Kafariki ..Zingine zinasema yupo Hai

Utata Kuhusu Rafiki yake Mangwea..Habari zingine zinasema Kafariki ..Zingine zinasema yupo Hai

Status
Not open for further replies.

Bwana Mapesa

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
2,551
Reaction score
1,777
RAFIKI WA MANGWEA M to The P NAYE AFARIKI DUNIA

-Pigo tena kwa muziki wa Bongo Fleva baada ya ripoti kusema, M To The P aliyekuwa na Mangwea jijini Johannesburg naye amefariki dunia.

Taarifa kutoka Johannesburg zinaeleza M To The P amefariki dunia baada ya kulazwa katika hospitali ya St Helen Joseph ambayo mwili wa Mangwe umehifadhiwa.

Mangwea na M To The P walisafiri pamoja hadi Afrika Kusini kwa ajili ya kufanya shoo na baadaye waliendelea na maisha yao.

Lakini juzi wakati wanatarajia kurejea nyumbani, Mangwea alikutwa amefariki dunia chumbani na M To The P akiwa taabani na akakimbizwa hospitali.

"Kweli amefariki dunia, ni Yule mwenzake na Mangwea, sasa tuko kwenye pilika ya kuandaa mazishi," alisema Thomas, mmoja wa Watanzania wanaoshughulikia suala la mazishi.RAFIKI WA MANGWEA NAYE AFARIKI DUNIA

Source:SaleheJembe Blog

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums


Kutoka xxl clouds fm wamesema m2 the P hajafa na anaendelea vizuri anauwezo wa kuongea japo hawajapata chanzo kilichoruhusiwa kuongea nae

Source : xxl clouds fm

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Habari za kuaminika ni kwamba M to the P yupo hai hospitali na anaendelea vizuri.
Source:Millard Ayo yupo South Africa

Standard Digital News/Entertainment - IzVipi - Exclusive News - Bongo Artist Found With The Late Mangwair Has Also Died
Bongo Artist Found With The Late Mangwair Has Also Died

Updated 46 mins ago

[TABLE="width: 0"]
[TR]
[TD]
ngwair.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] One of the last photos of Ngwair and M-to-the-P shared before they passed on.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Tuesday evening, we reported the sad news that Tanzanian Bongo star Albert Mangwea a.k.a Ngwair had passed away while in South Africa.
Even more saddening is that Ngwair's fellow musician, M-to-the-P, who was found unconcious next to Ngwair has also been pronounced dead. This was after being rushed to hospital yesterday where he passed on today.
Before they met their death, they shared a couple of photos having fun before embarking on their drinking and indulgence spree.
According to Vibe Weekly, a medical report by Dr. Shirley Radcliffe of Helen Joseph Hospital, says that, Albert Mangwea died of a heart-attack induced by alcohol, toxicity, drug overdose and over-exhaustion.
The medical report stated that the Bongo star has consumed more than 5 times the legal drink-drive limit in South Africa and had overdosed on heroin, cocaine and marijuana. While the exact cause of M-to-the-P's death is not known, speculation is rife that he died from the same cause.
It is indeed heartbreaking that such brilliant talent has been lost.
Rest In Peace Brothers.
 
too bad ila mungu azipumzishe roho za marehem

jamani wasanii basi hili liwe funzo tumieni
talent zenu drugs will never lead you anywhere
 
R I P nyoka, mmetangulia na sisi tunakuja.
 
RAFIKI WA MANGWEA M to The P NAYE AFARIKI DUNIA

-Pigo tena kwa muziki wa Bongo Fleva baada ya ripoti kusema, M To The P aliyekuwa na Mangwea jijini Johannesburg naye amefariki dunia.

Taarifa kutoka Johannesburg zinaeleza M To The P amefariki dunia baada ya kulazwa katika hospitali ya St Helen Joseph ambayo mwili wa Mangwe umehifadhiwa.

Mangwea na M To The P walisafiri pamoja hadi Afrika Kusini kwa ajili ya kufanya shoo na baadaye waliendelea na maisha yao.

Lakini juzi wakati wanatarajia kurejea nyumbani, Mangwea alikutwa amefariki dunia chumbani na M To The P akiwa taabani na akakimbizwa hospitali.

“Kweli amefariki dunia, ni Yule mwenzake na Mangwea, sasa tuko kwenye pilika ya kuandaa mazishi,” alisema Thomas, mmoja wa Watanzania wanaoshughulikia suala la mazishi.RAFIKI WA MANGWEA NAYE AFARIKI DUNIA

Source:SaleheJembe Blog

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Daaah, sijui itakuwaje
 
kama walikuwa chumbani wote wawili na wamekufa wote kuna uwezekano wameuawa pia .wachunguzwe
 
CHANZO: FACEBOOK PAGE YA JOSEPH SHALUWA, MWANDISHI WA GLOBAL PUBLISHERS
[h=5]BREAKING NEWS; M TO THE P, Mshakaji aliyekuwa na Mangwea ambaye naye alikuwa mgonjwa, naye amefariki dunia asubuhi hii. Inauma sana.[/h]
 
Walizidisha dozi ya sembe, walizoea za bongo zilizo chakachuliwa mzigo wa kule grade A.
 
Wazee wazima walikuwa wanajidunga R.I.P for Mangwea and M to the P
 
chezea sembe ww mwenzao ray c alistuka akaponea chupuchupu
 
rafiki wa mangwea m to the p naye afariki dunia-pigo tena kwa muziki wa bongo fleva baada ya ripoti kusema, m to the p aliyekuwa na mangwea jijini johannesburg naye amefariki dunia.taarifa kutoka johannesburg zinaeleza m to the p amefariki dunia baada ya kulazwa katika hospitali ya st helen joseph ambayo mwili wa mangwe umehifadhiwa.mangwea na m to the p walisafiri pamoja hadi afrika kusini kwa ajili ya kufanya shoo na baadaye waliendelea na maisha yao.lakini juzi wakati wanatarajia kurejea nyumbani, mangwea alikutwa amefariki dunia chumbani na m to the p akiwa taabani na akakimbizwa hospitali."kweli amefariki dunia, ni yule mwenzake na mangwea, sasa tuko kwenye pilika ya kuandaa mazishi," alisema thomas, mmoja wa watanzania wanaoshughulikia suala la mazishi.rafiki wa mangwea naye afariki duniasource:salehejembe blogsent from my blackberry 9780 using jamiiforums
hivi m2the p naye alikuwa ni msanii??kaimba nyimbo gani??btw tanzania kuna wasanii wengi itafikia mahali raisi wa nchi naye atatoa single yaketayari kuna wabunge wameonesha njiavicky, sugu, komba
 
Hili tatizo la watu kuwa mapanya wao sembe ndio deal. Madhara yake ni makubwa sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom