Utata Kuhusu Rafiki yake Mangwea..Habari zingine zinasema Kafariki ..Zingine zinasema yupo Hai

Status
Not open for further replies.

Bwana Mapesa

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
2,551
Reaction score
1,777
RAFIKI WA MANGWEA M to The P NAYE AFARIKI DUNIA

-Pigo tena kwa muziki wa Bongo Fleva baada ya ripoti kusema, M To The P aliyekuwa na Mangwea jijini Johannesburg naye amefariki dunia.

Taarifa kutoka Johannesburg zinaeleza M To The P amefariki dunia baada ya kulazwa katika hospitali ya St Helen Joseph ambayo mwili wa Mangwe umehifadhiwa.

Mangwea na M To The P walisafiri pamoja hadi Afrika Kusini kwa ajili ya kufanya shoo na baadaye waliendelea na maisha yao.

Lakini juzi wakati wanatarajia kurejea nyumbani, Mangwea alikutwa amefariki dunia chumbani na M To The P akiwa taabani na akakimbizwa hospitali.

"Kweli amefariki dunia, ni Yule mwenzake na Mangwea, sasa tuko kwenye pilika ya kuandaa mazishi," alisema Thomas, mmoja wa Watanzania wanaoshughulikia suala la mazishi.RAFIKI WA MANGWEA NAYE AFARIKI DUNIA

Source:SaleheJembe Blog

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums


Kutoka xxl clouds fm wamesema m2 the P hajafa na anaendelea vizuri anauwezo wa kuongea japo hawajapata chanzo kilichoruhusiwa kuongea nae

Source : xxl clouds fm

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Habari za kuaminika ni kwamba M to the P yupo hai hospitali na anaendelea vizuri.
Source:Millard Ayo yupo South Africa

 
too bad ila mungu azipumzishe roho za marehem

jamani wasanii basi hili liwe funzo tumieni
talent zenu drugs will never lead you anywhere
 
R I P nyoka, mmetangulia na sisi tunakuja.
 

Daaah, sijui itakuwaje
 
kama walikuwa chumbani wote wawili na wamekufa wote kuna uwezekano wameuawa pia .wachunguzwe
 
CHANZO: FACEBOOK PAGE YA JOSEPH SHALUWA, MWANDISHI WA GLOBAL PUBLISHERS
[h=5]BREAKING NEWS; M TO THE P, Mshakaji aliyekuwa na Mangwea ambaye naye alikuwa mgonjwa, naye amefariki dunia asubuhi hii. Inauma sana.[/h]
 
Walizidisha dozi ya sembe, walizoea za bongo zilizo chakachuliwa mzigo wa kule grade A.
 
Wazee wazima walikuwa wanajidunga R.I.P for Mangwea and M to the P
 
chezea sembe ww mwenzao ray c alistuka akaponea chupuchupu
 
hivi m2the p naye alikuwa ni msanii??kaimba nyimbo gani??btw tanzania kuna wasanii wengi itafikia mahali raisi wa nchi naye atatoa single yaketayari kuna wabunge wameonesha njiavicky, sugu, komba
 
Hili tatizo la watu kuwa mapanya wao sembe ndio deal. Madhara yake ni makubwa sana.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…