Utata Kuhusu Rafiki yake Mangwea..Habari zingine zinasema Kafariki ..Zingine zinasema yupo Hai

Status
Not open for further replies.
du kwel ni cmanz kwa hip hop tz,but ni fundisho kwa wasanii na mateja wote tz,lord eyes iz a time to change nw....
 
du kwel ni cmanz kwa hip hop tz,but ni fundisho kwa wasanii na mateja wote tz,lord eyes iz a time to change nw....

true man watu wanalia ilhali wangetumia nguvu nyingi kuwa katawaza yasingetokea

watengeni wote wanaotumia
 
There is something fishy here!

IUsijekuwa sisi tunasema wamejidunga kumbe vijana wameuwawa.
 
kila kitu na kiasi unabwia kama hamna kesho.ok .r.i.p hili ni janga la dunia wasanii wengi wa kike na kiume bila hhiyo kitu wanaona hawajaamilika kuna yule called TID, Nature na blablabla nyingine tu ukmwangalia nowdays ni kinyaa kabisa.hawajifunzi hata kwa yule RAY C????????
 
CHANZO: FACEBOOK PAGE YA JOSEPH SHALUWA, MWANDISHI WA GLOBAL PUBLISHERS
[h=5]BREAKING NEWS; M TO THE P, Mshakaji aliyekuwa na Mangwea ambaye naye alikuwa mgonjwa, naye amefariki dunia asubuhi hii. Inauma sana.[/h]

Tunashukuru kwa taarifa, ila wenzio walisha weka muda mrefu hii habari.
 
Wasanii wa kibongo huko ndiko wanakoelekea,wacha tu wafe,makusudi haina pole.nyambafu zao,hongera sana ray c kwa kuuona mwanga,mungu akusaidie sana.
 
No matter what they were but time like this wise people don't use it for finger pointing or blame game! We are sad and sorry for this industry and my condolence to their families.
 

Pichani ni marehemu Albert Mangwair akiwa na M2 the P(ambaye kwasasa naye ni marehemu).

Taarifa zilizothibitishwa kutoka nchini Afrika Kusini ni kwamba yule msanii aliyepelekwa hospitali pamoja na Mwana Hip Hop, Albert Mangwair aitwaye M to the P naye amefariki dunia leo.


M2 the P alipelekwa katika hospitali ya St Hellen iliyopo jijini nchini humo kwa matibabu baada ya kukutwa amepoteza fahamu akiwa na Mangwair aliyefariki dunia jana.

Miili ya marehemu hao bado ipo katika hospitali ya St. Hellen na mipango ya kuhamisha miili hiyo bado inaendelea hivi sasa.

Baadhi ya Watanzania waishio nchini Afrika Kusini wamejikusanya kwa ajili ya kuandaa mipango ya kuhifadhi miili hiyo pamoja na safari ya kuileta nchini Tanzania.

Hii ndiyo report kuhusu kifo cha Albert Mangair iliyotolewa na
Dr Shirley Radcliffe

 
CHANZO: FACEBOOK PAGE YA JOSEPH SHALUWA, MWANDISHI WA GLOBAL PUBLISHERS
[h=5]BREAKING NEWS; M TO THE P, Mshakaji aliyekuwa na Mangwea ambaye naye alikuwa mgonjwa, naye amefariki dunia asubuhi hii. Inauma sana.[/h]

ray c umeona ungekufa wewe
 
hiki ndo kilichowaua vijana hawa




The Medical report from Helen Joseph hospital, Dr Shirley Radcliffe confirming that Albert Mangwair died from "alcohol
toxicity" after drinking too much, over-exhaustion and drugs
overdose....

The inquest heard that Albert 28, collapsed in his friends' home had been more than five-times the legal S.A drink-drive limit with 416mg of alcohol per 100 millilitres of blood in his system...

Radcliffe described the reasons for ICU admission included hypoxemia... and one of his friend found "two empty vodka bottles [found] on the car" and he had been suffering from
the eating disorder Bulimia for several months before his death and endless partying session with little
or no resting...

Sample taken from his stomach showed poly-drug cocktail and he overdosed Heroin, Cocaine 'crack' and cannabis 0.08gms was also found in his blood... and his death was caused by massive heart attack and respiratory failure followed by sudden Heart stop and end up dead within seconds!​
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…