Utata Kuhusu Rafiki yake Mangwea..Habari zingine zinasema Kafariki ..Zingine zinasema yupo Hai

Status
Not open for further replies.
huenda sumu ikahusika, overdose wote wawili kweli??????
 
Vp na huyu clouds wana mkono wao au vile sio maarufu kama ngwear mtampotezea?
 
Aliye na picha zinazowaonyesha sharp atuletee hapa tuwajue vyema, bado ni ndugu zetu marehemu hawa. RIP.
 
Mbona M to the P bado yuko mahututi hapo Helen Joseph Hospital. Hajafariki wakuu, bado anapigania uhai wake.
 
Mbona taarifa nyingine inasema M to the P hajafa?
 
bado yupo hai ila hali yake ni mbaya sna.bila shaka walizidisha dozi ya dona.
 
Walikula ki2 cha south bila kuweka maji kama cha bongo .chezea madini oj
 
Kutoka xxl clouds fm wamesema m2 the P hajafa na anaendelea vizuri anauwezo wa kuongea japo hawajapata chanzo kilichoruhusiwa kuongea nae

Source : xxl clouds fm

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Habari za kuaminika ni kwamba M to the P yupo hai hospitali na anaendelea vizuri.
Source:Millard Ayo yupo South Africa
 
Watu kwakumendea roho za wenzenu ili muwahi kusema rip...lol
wengine hajafa wengine kafa..which is which...

Kama kweli poleni wafiwa..wazazi,ndugu,jamaa na marafiki.
 
Taarifa toka South kwa Milad Ayo anasema kijana ameanza kupumua hajafa.
 
Mmmmmh hatari ! Vp pesa zao za show zimeonekana?isije ikawa walizoa milupo ikawazidishia dozi!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…