Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We acha kuripot wengine washafika
siku tano hazitoshi kwa mtu kuripoti kulingana na ukubwa wa nchi yetu na uchumi wetu! Tarehe iongezeke kama sio selection technique
haitoshi kuanzia tarehe 1 hadi 9 may acha utani bwana!kuna sehemu ndani ya nchi utasafiri zaidi ya siku mbili wakati mikoa yote imeunganishwa na barabara kuu please mwalimu acha visingizio nenda kazini ajira hii umeisotea kwa muda mrefu usiifanyie mzaha!
siku tano hazitoshi kwa mtu kuripoti kulingana na ukubwa wa nchi yetu na uchumi wetu! Tarehe iongezeke kama sio selection technique
Acha kulalamika mwalimu nenda karipoti kituo chako..ww unawaza umbali badala ya kuanza safar
ukumbuke ni siku tano tu hebu chukulia mtu anato ileje vijijini anatakiwa aende rorya
mkuu unajua distance ya nyasa to karagwe au ukerewe handeni?
tuwe realistic hizi ajira zmekuta watu wakiwa wamechoka mpaka familia zijipange
Mishahara imetoka hebu kopa upate nauli uende kazn mkuu
Mkuu, anza safar Leo n karibu tu ukifika mwanza nistue nikuelekeze skan ukerewe watakupokea utapiga kazi tu
mie nipo mwanza naenda mboka ila shemeji yupo newala anaenda karagwe