Utata kuhusu tarehe ya kuripoti walimu wapya

DREAMBOY

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
2,117
Reaction score
1,369
siku tano hazitoshi kwa mtu kuripoti kulingana na ukubwa wa nchi yetu na uchumi wetu! Tarehe iongezeke kama sio selection technique
 
jamaan waalimu mkoje? tangu mda mrefu mlijua cku sio nyingi mtaripot sasa eti cku hazitoshi looo
 
We acha kuripot wengine washafika
 
siku tano hazitoshi kwa mtu kuripoti kulingana na ukubwa wa nchi yetu na uchumi wetu! Tarehe iongezeke kama sio selection technique

haitoshi kuanzia tarehe 1 hadi 9 may acha utani bwana!kuna sehemu ndani ya nchi utasafiri zaidi ya siku mbili wakati mikoa yote imeunganishwa na barabara kuu please mwalimu acha visingizio nenda kazini ajira hii umeisotea kwa muda mrefu usiifanyie mzaha!
 
tuwe realistic hizi ajira zmekuta watu wakiwa wamechoka mpaka familia zijipange
 
siku tano hazitoshi kwa mtu kuripoti kulingana na ukubwa wa nchi yetu na uchumi wetu! Tarehe iongezeke kama sio selection technique

Acha kulalamika mwalimu nenda karipoti kituo chako..ww unawaza umbali badala ya kuanza safar
 
Acha kulalamika mwalimu nenda karipoti kituo chako..ww unawaza umbali badala ya kuanza safar

ukumbuke ni siku tano tu hebu chukulia mtu anato ileje vijijini anatakiwa aende rorya
 
mkuu unajua distance ya nyasa to karagwe au ukerewe handeni?

Mkuu, anza safar Leo n karibu tu ukifika mwanza nistue nikuelekeze skan ukerewe watakupokea utapiga kazi tu
 
Mkuu, anza safar Leo n karibu tu ukifika mwanza nistue nikuelekeze skan ukerewe watakupokea utapiga kazi tu

mie nipo mwanza naenda mboka ila shemeji yupo newala anaenda karagwe
 
mie nipo mwanza naenda mboka ila shemeji yupo newala anaenda karagwe

OK kumbe we upo karb, huyo wa karagwe, ana distance kidogo pia karagwe Nina wenyeji huko, hafu karagwe n pazur Mkuu atapapenda tu hali ya hewa nzuri, chakula kingi
 
Ongeza zako kumi hata wackupe tabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…