Punguza haraka na uandike vizurikama kichwa cha habari kinavyo jieleza ndugu zangu kuna mpangaji
mwenzangu naona kabisa sio mtu mzuri kwanza anazungumza sana kuhusu uganga na mambo ya kuogofya kwenye simu tena kwa kupayuka kingene pindi ana hamia alikuja na
vidada viwili miaka 17 na 18 tukajua ni nduguze ila sio nduguze kumbe sio tuligundua baada ya mmoja kumtaka wale madada wakaondoka juzi kaleta wengine age iyo iyo
wakati najiandaa kwenda kazini nikaitwa na hao wanaokaa nae chumba kimoja hao wabinti kwa dirishani kaka njoo utufungulie kwenda kawafungia kufuli nje je hiyo ni sawa
Hongera Kwa kuandika upyaNgoja tukusaidie kuandika vizuri, sio hadi Mods:
Tatizo la Mpangaji Mwenye Tabia Zisizofaa
Ndugu zangu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna mpangaji mwenzangu ambaye kwa kweli si mtu mzuri. Kwanza, anazungumza sana kuhusu uganga na mambo ya kuogofya kwenye simu, tena kwa kupayuka. Pindi alipohamia, alikuja na wasichana wawili wa miaka 17 na 18. Tulidhani ni ndugu zake, ila tuligundua baadaye kuwa si ndugu zake, hasa baada ya mmoja wa wasichana hao kumtaka.
Wasichana hao waliamua kuondoka, na juzi mpangaji huyu kaleta wasichana wengine wa umri ule ule. Asubuhi moja, wakati najiandaa kwenda kazini, nilitwa na wale wanaokaa naye chumba kimoja. Wasichana hao waliniita kwa dirishani wakisema, "Kaka njoo utufungulie." Ilibainika kuwa mpangaji alikuwa amewafungia nje kwa kufuli.
Swali langu ni je, kitendo hiki ni sawa? Hali hii imetufanya tuwe na wasiwasi mkubwa kuhusu usalama na ustawi wa wasichana hao na hali ya mpangaji huyo. Ni muhimu kuchukua hatua ili kuhakikisha usalama wa wote na kuhakikisha tabia zisizofaa hazifanyiki kwenye makazi yetu.
Hapa nimeelewa,sasa jibu sio sawa mripotini kwa mjumbe ili ijulikane kwanini anawafungia hao mabintiNgoja tukusaidie kuandika vizuri, sio hadi Mods:
Tatizo la Mpangaji Mwenye Tabia Zisizofaa
Ndugu zangu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna mpangaji mwenzangu ambaye kwa kweli si mtu mzuri. Kwanza, anazungumza sana kuhusu uganga na mambo ya kuogofya kwenye simu, tena kwa kupayuka. Pindi alipohamia, alikuja na wasichana wawili wa miaka 17 na 18. Tulidhani ni ndugu zake, ila tuligundua baadaye kuwa si ndugu zake, hasa baada ya mmoja wa wasichana hao kumtaka.
Wasichana hao waliamua kuondoka, na juzi mpangaji huyu kaleta wasichana wengine wa umri ule ule. Asubuhi moja, wakati najiandaa kwenda kazini, nilitwa na wale wanaokaa naye chumba kimoja. Wasichana hao waliniita kwa dirishani wakisema, "Kaka njoo utufungulie." Ilibainika kuwa mpangaji alikuwa amewafungia nje kwa kufuli.
Swali langu ni je, kitendo hiki ni sawa? Hali hii imetufanya tuwe na wasiwasi mkubwa kuhusu usalama na ustawi wa wasichana hao na hali ya mpangaji huyo. Ni muhimu kuchukua hatua ili kuhakikisha usalama wa wote na kuhakikisha tabia zisizofaa hazifanyiki kwenye makazi yetu.
Kamshitaki polisi, huyo jamaa ni Mpemba au, nimeuliza hiyo maana wao ni washamba wa kufuga wake zao ndani wasijuane hata na majirani.kama kichwa cha habari kinavyo jieleza ndugu zangu kuna mpangaji