Sina uhakika unamaanisha nini kwa "share", wako kwenye DSE wanauza hisa? Anyway tuachane na hilo.
Share value ni market value , haina direct relationship na asset za kampuni.
Vitu kama brand name na future earning potential vinachangia kwenye share value, kwa mfano Coca-Cola ina thamani kubwa kwa sababu ya brand recognition ya Coca-Cola sio tu kwa sababu ya capital waliyoinvest. Facebook iko valued at $50 billion kwa sababu investors wanaamini baadae itakuwa inatengeneza profit kubwa, although mpaka sasa hakuna anayejua exactly HOW watatengeneza hiyo profit. So inawezekana ikawa na thamani hiyo.