Utata mafao ya wastaafu yapata majibu

Utata mafao ya wastaafu yapata majibu

kiwenini

Member
Joined
Nov 25, 2018
Posts
73
Reaction score
43
Utata mafao ya wastaafu yapata majibu
Kanuni mpya ya sheria ya hifadhi ya mfuko wa jamii ya mwaka 2018 imeondoa ‘ubaguzi’ kwa watumishi wa sekta binafsi na Serikali ambao sasa watatumia kikokotoo kinachofanana.
1543234252706.png
 
Wastaafu hatudai usawa tunataka haki yetu!
Huyu Mama Irene ni mshenzi kabisa nani alimwambia kwamba wastaafu tulikuwa tunadai usawa wa mafao kwa mifuko yote??
Anaongea upumbavu wakati wastaafu tunadai haki zetu za msingi.
Kwa nini Serikali ilipitisha sheria bila kuwahusisha wadau ambao ni wanachama wa mifuko husika?
 
Kikokotoleo kinafanana kwenye kukatwa au kwenye kupata pensheni acheni usanii hakuna utata wowote toeni mpunga wa raia
 
2020 CCM ikipata wabunge wengi taifa letu litakuwa limelaaniwa na mungu mpaka shetani.
Upige kura kwa upinzani, ususie kupiga kura, CCM itashinda majimbo mengi tu ya ubunge, tena kuliko unavodhani... kama tumeshindwa kujitetea kwenye hili la mafao ya mifuko ya hifadhi ya jamii ambalo lingusa wafanyakazi wote bila kubagua, sioni mtu atakaelinda kura yake na kutetea mbunge wa upinzani pindi matokeo yatakapokuwa yanatangazwa, tukubali tu kwamba watanzania hatuna uwezo wa kutetea haki zetu..
Na kwa hili la mafao, nimeamini rasmi kuwa CCM Itaanguka siku ikiamua yenyewe sio kwa matakwa ya wananchi
 
Tangu mwaka huu umeanza hili ndio la maana umeongea hongera yajo
 
Upige kura kwa upinzani, ususie kupiga kura, CCM itashinda majimbo mengi tu ya ubunge, tena kuliko unavodhani... kama tumeshindwa kujitetea kwenye hili la mafao ya mifuko ya hifadhi ya jamii ambalo lingusa wafanyakazi wote bila kubagua, sioni mtu atakaelinda kura yake na kutetea mbunge wa upinzani pindi matokeo yatakapokuwa yanatangazwa, tukubali tu kwamba watanzania hatuna uwezo wa kutetea haki zetu..
Na kwa hili la mafao, nimeamini rasmi kuwa CCM Itaanguka siku ikiamua yenyewe sio kwa matakwa ya wananchi
Aiseee! nguvu ya sanduku la kura unaijua brother?
 
Aiseee! nguvu ya sanduku la kura unaijua brother?

Nguvu hiyo ya kura haitumiki Tanzania kwa sasa. Wananchi wengi hawaitambui nguvu ya kura yao na pia mamlaka haziko tayari kuona CCM ikianguka hivyo inatumia mabavu kunyanganya maamuzi ya wananchi, na wao wananchi wanakaa kimya wakiangalia haki yao ikipokonywa bila kupiga kelele.

Hadi hapo, wasimamizi wa uchaguzi watakapoona haja ya kutenda haki na wapambe wa watawala wakiwemo polisi/vyombo vya dola watakapodhibitiwa kuingia katika vyumba vya kupigia kura. Mawakala wa wagombea wameshuhudia mengi ya hovyo na ya aibu katika vyumba vya kupigia na kuhesabia kura.

Wasimamizi wa uchagu hasa Ma DED ni ugonjwa mwingine, ukweli ni kuwa anaweza kuwa na matokeo sahihi lakn akatangwa aliyeshindwa kuwa ni mshindi na mambo yakaendelea bila kuhoji, hii ni laana katika nchi na kwa vizazi vya wanaofanya uovu huo.

Nini kifanyike? wananchi kataeni haki yenu kupokonywa hata kwa gharama ya damu zenu, bila hivyo ni shida sana mpinzani kushinda hasa kwa utawala huu.

Ee Mungu ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom