Chollo0156
New Member
- Oct 26, 2018
- 2
- 1
Nimesindikiza mgeni hivi karibuni akielekea Ughaibuni.
Kabla sijampeleka airport nilifanya kupima begi lake uzito ili kuhakiki isitokee kupunguza mizigo panga pangua na begi lilikua na KG30 kamili.
Kisha nlipofika pale wanapofanya wrapping niliwrap na kuhakiki uzito ulikuwa huo huo 30kg.
Sasa kimbembe kilianzia nlipofika counter ya ndege X kwa ajili ya boarding pass na kukabidhi begi, ikasoma begi lina kg37!!!
Tulisumbuana pale mwishowe walilichukua begi! Natoa wito kwa wadau kuwa makini na kulipeperusha hili kwa mamlaka husika kufuatilia mizani zote pale za upimaji kuepuka udanganyifu au shida za kimitambo zilizopo na kuondoa usumbufu kama huu.