Wakat TCU wanaiweka ile admitted or not admitted status, kwangu waliniwekea Not Admitted. Nikaomba mapema second round kwa BaED SAUT Mwanza, IKAKUBALI, halafu ikageuka ikawa Admitted. Utata ukaanza baada ya jina langu kutoka BeD UDOM. Na TCU wakanambia niconfirm BeD UDOM, nikaconfirm. Sasa tatizo ni kwamba, kwenye 2nd Round App. Status ya profile yangu, kuna SAUT Mwanza, na imeandikwa ADMITTED. Maana yake First round NIMECHAGULIWA UDOM, na 2nd round nimechaguliwa SAUT.
Jaman kwa anayeweza kunisaidia, pliz
Ebwana nakuunga Mkono aende Udom patamfaa na Mkopo atapata kwa uwezo wa Mungu Inshallah.Nakushauri nenda UDOM pamoja na kuwa ina sifa mbaya kwa sababu tabia mbaya ni ishu ya mtu binafisi. Kwanza ada ni ndogo, hata kama hutapata mkopo (nakuombea upate)
Wakat TCU wanaiweka ile admitted or not admitted status, kwangu waliniwekea Not Admitted. Nikaomba mapema second round kwa BaED SAUT Mwanza, IKAKUBALI, halafu ikageuka ikawa Admitted. Utata ukaanza baada ya jina langu kutoka BeD UDOM. Na TCU wakanambia niconfirm BeD UDOM, nikaconfirm. Sasa tatizo ni kwamba, kwenye 2nd Round App. Status ya profile yangu, kuna SAUT Mwanza, na imeandikwa ADMITTED. Maana yake First round NIMECHAGULIWA UDOM, na 2nd round nimechaguliwa SAUT.
Jaman kwa anayeweza kunisaidia, pliz
Tatua hilo tatizo mapema kwani loans board hawata toa loan kwa applicants wenye multiple admissions mpaka wasettle admissions zao na kumbuka kupata loan ni kinyang'anyiro.
sawa naona mmemjibu ipasavyo mi nimeomba second round tarehe 28 baada ya fist round kua nautata japo nilienda tcu wakakiri kunamakosa nakusema watashughulikia ikabid niombe tu mara nyingine lakini nasikia kukonfirm imeandika admitted sawa nakonfirm vp
Wakat TCU wanaiweka ile admitted or not admitted status, kwangu waliniwekea Not Admitted. Nikaomba mapema second round kwa BaED SAUT Mwanza, IKAKUBALI, halafu ikageuka ikawa Admitted. Utata ukaanza baada ya jina langu kutoka BeD UDOM. Na TCU wakanambia niconfirm BeD UDOM, nikaconfirm. Sasa tatizo ni kwamba, kwenye 2nd Round App. Status ya profile yangu, kuna SAUT Mwanza, na imeandikwa ADMITTED. Maana yake First round NIMECHAGULIWA UDOM, na 2nd round nimechaguliwa SAUT.
Jaman kwa anayeweza kunisaidia, pliz
Piga kimya na uLambe Boom both sides,
Mpaka wastuke ushamaliza chuo
Very simple mkuu,nenda unakotaka