srinavas
JF-Expert Member
- Jun 5, 2011
- 4,195
- 4,013
Habari za jumapili wadau.
Bwana asifiwe kwa wenzangu wakristu.
Sasa nikienda moja kwa moja kwenye mada. Ni kwamba kuna picha za utata kidogo zimepatikana huko mtandaoni zikimuonyesha raisi mteule wa marekani. Sasa mm swali langu ni kwamba je huyu ni donald trump mwenyewe au ni mtu tu amejifanya kuwa yeye??
Naombeni majibu tafadhali.