Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
tajiri ambae pia ni gavana wa Mombasa, Kenya ambae anaefahamika kwa jina la Joho kashutumiwa Mara kwa mara na watu wengi tofauti kuwa anahusika na uuzaji na usafirishaji wa madawa ya kulevya, hata kuna baadhi ya mateja walikiri live kwamba joho anahusika moja kwa moja na uraibu wao wa madawa.
Madawa ya kulevya ni biashara yenye pesa ndefu sana na wahusika hupiga mabilioni kama mchezo hivi.
Sasa vujiweni kumeibuka shutuma ya ukaribu wa ommy dimpoz na Huyu joho kwa zile bata anazopiga ommy na safari za kila Mara nje ya nchi, mtaani kuna tetesi kwamba kijana wetu huenda kaanza kubeba mzigo kwa malipo safi ya pesa taslimu.
Ila kwa upande mwengine hizi shutuma zinaweza zikawa fitina tu, Huenda ommy dimpoz ana shows nyingi sana au ana biashara zake nyingi tu ambazo zinamfanya aweze kuyamudu maisha ya ki superstar ila wahenga walishasema ngoma ikivuma sana mwisho wa hupasuka