Utata: Safari za nje, bata na utajiri wa Ommy Dimpoz kuunganishwa na anayehisiwa kuwa zungu la unga Mombasa

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370







tajiri ambae pia ni gavana wa Mombasa, Kenya ambae anaefahamika kwa jina la Joho kashutumiwa Mara kwa mara na watu wengi tofauti kuwa anahusika na uuzaji na usafirishaji wa madawa ya kulevya, hata kuna baadhi ya mateja walikiri live kwamba joho anahusika moja kwa moja na uraibu wao wa madawa.

Madawa ya kulevya ni biashara yenye pesa ndefu sana na wahusika hupiga mabilioni kama mchezo hivi.

Sasa vujiweni kumeibuka shutuma ya ukaribu wa ommy dimpoz na Huyu joho kwa zile bata anazopiga ommy na safari za kila Mara nje ya nchi, mtaani kuna tetesi kwamba kijana wetu huenda kaanza kubeba mzigo kwa malipo safi ya pesa taslimu.

Ila kwa upande mwengine hizi shutuma zinaweza zikawa fitina tu, Huenda ommy dimpoz ana shows nyingi sana au ana biashara zake nyingi tu ambazo zinamfanya aweze kuyamudu maisha ya ki superstar ila wahenga walishasema ngoma ikivuma sana mwisho wa hupasuka
 
Zile mbilimbili na koo lake vipi alipata matibabu
 
Kama wanapiga mabilioni kama mchezo, na wewe nenda kacheze upate bilions [emoji51][emoji51][emoji51].

by the way, mambo ya Kenya yanakuhusu nini mkuu kiasi kwamba unaumia mpaka unaanzisha thiredi.
 
Hivi wanamuziki wanakuwa na vitabu vya mahesabu ya biashara zao, income and expenditure?
Bkla shaka hawana. Diamond sijui aliropoka nini akapigwa notice na TRA kwamba alete vitabu vyake vya mahesabu, mikataba alioingia na matamasha aliofanya na nini ilikua mapato yake. Kesho yake aliibukia kwa makonda na kuunga mkono jjhudi. TRA wakaachana nae.
 
Ukiwa mvivu wa kufanya kazi mara nyingi sana utaanza kuishi kwa kufuatilia watu wanaofanya vizuri kwa mtazamo hasi. Fine, Ommy anafanya biashara ya madawa ya kulevya na huko nje anaenda kwa kupaa na ungo maana viwanja vyote vya ndege vina teknolojia kubwa ya kugundua madawa
 
Athari za kunyonya koni si mliziona
 
Kama wanapiga mabilioni kama mchezo, na wewe nenda kacheze upate bilions [emoji51][emoji51][emoji51].

by the way, mambo ya Kenya yanakuhusu nini mkuu kiasi kwamba unaumia mpaka unaanzisha thiredi.
Wewe inakuhusu nini mpaka kupelekea kumjibu aliezungumzia maswala ya Kenya?
 
Mtoa post kuna kitu unaficha, huku bongo kuna tetesi tofauti kabisa kuhusu huyo Joho na Ommy
 
mleta mada kwani wewe shida yako nn! kumbuka yeye ndiye aliyempeleka bondeni kutibiwa ,dimpoz hata kama akipelekewa moto ni kama analipa fadhila ,acha kabisa hayo ni mambo yao
 

Wivu tu huna lolote hapo unatamani ww ndio ungepata hiyo Chanel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…