Mwalimu wa Zamu Tz
JF-Expert Member
- Jan 2, 2021
- 1,053
- 2,757
Salaam wakuu!!
Kuna Jambo nashindwa kulielewa kabisaa kuna huyu mwamba Fraga sijui mkataba uliisha? Au alivunja mkataba!! Lakini nakumbuka alipata tatizo la Goti na simba ikatoa taarifa kwamba ataenda lakini akipona atarudi lakini unaelekea mwaka sasa uyu mwamba hajarudi na wala hana dalili za kurudi? Je, alishaachana na Simba au? Kweli alifanyiwa sajari ya goti na naona yuko fiti kabsa alipona sasa tatzo nn au alipishana kauli na viongozi?
Lakini kinachoshangaza zaidi ni mapenzi yake kwa Simba...hakuna post 3 mfululizo anaweza post bila kupost mambo ya Simba!! Mwamba inaonekana anamapenzi ya kweli na team?? Au ni njaa?? Lakini uwanjani Sialikua anapeleka moto??Aliposajiliwa Si vyura walianza kusema ni muuza matikiti uko brazil! Lakini alivyopewa nafasi alionesha uwezo mzuri tu sasa kwanini mpaka sasa bado hajarudi kambini??
Hata kwenye comment wadau wameuliza kwanini hajarudi mpaka sasa kikosini wengine wanasema Lugha ilikua tatzo maana alkua hajui English vzur wala kiswahili yye ni kibrazil tu So lugha gongana kwa sana tu ..ila hayo ni maneno ya mtandaoni tu kama kuna mwanaSimba anaejua A-Z kuhusu Fraga atueleze
Uzi tayari
Na kapicha juu