Freeman Patrick
Senior Member
- Jul 10, 2012
- 132
- 13
ingia kwenye web ya UDOM, fungua ALIS, kama wameshaifungua wao, ingiza jina lako na 4m4 index namba, kuna barua yako hapo. ilakama hawajakuchukua itagoma. Wapandie huko hukooo
Okie, kwahiyo watatoa nyingine au? Maana nilidhan nimeachwa hewani.
Sasa itakuaje mkuu? Taarifa ze2 zitakuwepo kweli vyuoni? Plz mwenyekuelewa atujuze