TEMILUGODA
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,389
- 285
hilo ni kwa sababu ya uzembe wa serikali...kwa mfano. huyo fresh from school akianza kulipwa mshahara wa shilingi 10 za kitanzania wakati yule in service aliondoka kituoni huku analipwa shilingi 5 na kuongezeka hadi sh. 6 za kitanzania ataanzia mshahara wake hapo....sasa ni hivi rhusa yenyewe kapata kwa tabu 2, ofisi haijampa hata sarafu nyeupe ya Tsh1. la 3. kasoma kwa tabu kubwa sana, si ajabu hata mshahara alishatemwa, 4. mkopo alitoswa 5. hata akirudi ofisi hawatambui elimu yake hadi alete cheti halisi cha shule, sio result slip ama transcript kwa shahada...6. hata akileta hicho cheti leo, itamchukua hadi 2 years kubadilishiwa cheo kipya, na sio kulipwa mshahara mpya....Kwa hali hiyo.. hata ingekuwa ni mimi ningesepa ili nikaanze na mshahara wa juuu baba......tunahitaji kuishi leo na sio kuishi kesho mkuu..
Ndugu unachojaribu kukiongelea hapa mimi kidogo kimenitatizo na jua kuna tatizo lilitokea Wizara ya Elimu kufanya re-alocation nkimaanisha kuna baadhi ya walimu waliomaliza chuo mwaka 2010 na kupangiwa vituo mwaka 2011 walipangiwa vituo tena mwaka huu 2011, ila walimu hao ni waliosoma Chuo Kikuu Kishiriki Cha Elimu Mkwawa, na baada ya kuligundua hilo wiizara ilyaondoa majina hayo, na kurekebisha, sasa hao walliopangiwa na kuacha vituo vyao na kwenda kwenye vituo vipya sina uhakika kama wanaweeza kupata double payment, kwa kuwa majina yao yapo katika database ya hazina na vilevile kama ni mkongwe kama ulivyosema atakuwa anajipotezea muda kwasababu ataanzia mshahara amabao tiyari atakua kesha upitaWatanzania wengi tumefurahi kwa shule zetu kupata walimu watakao punguza mass failure kwa watoto wa kitz,lakini je tunajua utata ndani ya ajira hizo,nakupeni kwa uchache tu; 1.walimu wa zamani waliokuwa masomoni wameajiriwa upya 2.walimu wa zamani wame wametoweka na kwenda kwenye vituo vipya[jiulize kwa nini] 3.walimu hawa wakongwe walipoajiriwa awali walilipwa subsistence allowance na sasa tena wamelipwa[double payments] 4.walimu wapya si 23,000 bali ni pungufu ya hapo[sijapata mantiki ya hakiki za watumishi zinazofanywagwa hapa tz kama zinaumakini au hufanywa kwa uzoefu tu.] Nawasilisha naomba tuchangie
mleta mada fanya uchunguzi, walimu crash/voda fasta waliokua wameajiriwa kwa leseni wote hawakupangiwa vituo baada kumaliza chuo mwaka jana. Waliopata vituo mwaka huu ni wale pre service na sio inservice.
Wewe ndo huna data data,ungetaka kujua ingia kwenye mtandao halafu tafuta ajira za walimu walimu mwaka 2005-2007 matharani,kisha nakiri majina hayo vizuri halafu tena fanya hivyo kwa ajira za mwaka huu utagundua.PILI tunawaona walimu waliopata haya mambo[siwezi kutaja majina kwa sababu].Cha msingi jambo hili lipo na ni la kweli kama wachangiaji wengine walivyo justify!mleta mada fanya uchunguzi, walimu crash/voda fasta waliokua wameajiriwa kwa leseni wote hawakupangiwa vituo baada kumaliza chuo mwaka jana. Waliopata vituo mwaka huu ni wale pre service na sio inservice.