Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbuka kuna maana mbili za neno barabara bila shaka natumaini utakuwa unazifahamu vzr sina haja ya kukuelewesha juu ya hilo.
Tuje kwenye swali lako neno barabara inawezekana lilikuwepo kabla hata ya magari kufka kwasababu barabara sio lazma magari pekee ndo yanatumika kupita tu bali hata viumbe hai wengne wanaweza kuitumia kupita ktk kukamilisha shughuli zao mbalimbali...kumbuka enzi za zaman kulikuwa na biashara ya utumwa na nyngnezo mfno.long distance trade na wafanya biashara hao walikuwa wanatumia ngamia kuwawezesha kufka mahali wanapopataka kwaiyo kwa kuzingatia njia walizokuwa wanapita iliwasaidia kutokupotea kwa urahc...
Lugha huwa inatabia ya kukuwa na kuongeza misamiati kutoka lugha nyingne kwaiyo inawezekana neno barabara halikuwepo ktk matumizi ya enzi hzo ila lilikuwepo neno lingne ambalo linamaana sawa na barabara.