Utata wa barabara

Nduka

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2008
Posts
8,553
Reaction score
2,380
Wataalamu wa lugha ya kiswahili leo nimeamka na utata kuhusu hili neno barabara, hivi tulikuwa na neno hili kabla ya kuja magari? Na kabla ya magari hizo barabara zilikuwa na kazi gani? Asanteni.
 
kumbuka kuna maana mbili za neno barabara bila shaka natumaini utakuwa unazifahamu vzr sina haja ya kukuelewesha juu ya hilo.
Tuje kwenye swali lako neno barabara inawezekana lilikuwepo kabla hata ya magari kufka kwasababu barabara sio lazma magari pekee ndo yanatumika kupita tu bali hata viumbe hai wengne wanaweza kuitumia kupita ktk kukamilisha shughuli zao mbalimbali...kumbuka enzi za zaman kulikuwa na biashara ya utumwa na nyngnezo mfno.long distance trade na wafanya biashara hao walikuwa wanatumia ngamia kuwawezesha kufka mahali wanapopataka kwaiyo kwa kuzingatia njia walizokuwa wanapita iliwasaidia kutokupotea kwa urahc...
Lugha huwa inatabia ya kukuwa na kuongeza misamiati kutoka lugha nyingne kwaiyo inawezekana neno barabara halikuwepo ktk matumizi ya enzi hzo ila lilikuwepo neno lingne ambalo linamaana sawa na barabara.
 

Kwahiyo mkuu tunaweza kuwa na barabara bila ya kuwa na magari hivyo ndivyo unamaanisha?
 
TUKI mpo wapi? au jamaa wa HKL,HGK,KLF,nk njooni jamani- ndio wakati wa kuomyesha weledi na si siasa, jooni
 
ndio mkuu kwa mm ninavyoelewa.mfano haujawahi kusikia barabara ya wapita kwa miguu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…