#COVID19 Utata wa chanjo ya UVIKO-19: Askofu Gwajima kutoa msimamo mwingine juu msimamo tarehe 1/8/2021

Lugha ya kistaarabu ni ipi...?

Je, ni ile wanayotumia kina IGP Sirro, Waziri Gwajima Dorothy na CCM wengine ya uongo na unafiki...?

Yes, kusema kweli na kwa uwazi siku zote haijawahi kuwa lugha ya kistaarabu kwa waongo na wanafiki...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…