Utata wa hali tuliyonayo ulimwenguni kwa sasa

Utata wa hali tuliyonayo ulimwenguni kwa sasa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Wanajukwaa mnaonaje ustawi wa dunia kwa sasa hapo mashariki ya kati sio mbali na sisi tulipo na hata bahari ya shamu unavuka tu nchi mbili Kenya na Djibouti au somalia. Chokochoko hizi zitaathiri zaidi uchumi wetu hali zitakuwa mbaya zaidi mnashauri tujipange vipi kwa level ya kila mmoja ili angalau akiba ya chakula iwepo. Hapo bado gharama za matibabu aise. Tunaiomba Jumuiya ya Africa AU ijitokeze mbona imekaa kimya mioto inazidi kuwaka.
 
Back
Top Bottom