Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,734
- 1,709
Mkipata kazi za kuunganishiwa na wajomba zenu huwa mnakuwa na zarau sanaKazi zipo hasa za kujiajiri,kama vile garage,kutengeneza majiko,bustani,kufukia mawe barabarani,kuosha magari,kufua nguo,kusukuma mikokoteni n.k siyo kupiga kelele tu humu mtafutiwe ajira wakati wengi wenu elimu hamna
vyote kwa pamoja!.Kazi ipo? au kazi ipo! au kazi ipo.