Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Habari wanamichezo
Niende kwenye Mada moja kwa moja kuna sintofahamu zimetokeo kunako shirikisho letu la mpira wa miguu TFF juu yataarifa zao kupitia msemaji wao ndugu Clifford Mario Ndimbo nianze na sakata la kagera sugar ambapo alitutangazia kuwa imeshuka daraja lakn siku moja baadae ikawa tofauti kagera haikutakiwa kushuka daraja
Kituko kikubwa Jana katuambia mchezaji wa taifa stars shomari Kapombe ameumia Jana mazoezin hvyo wanasubir Taarifa ya daktar
Kituko kimekuja alipoulizwa mchezaji anasema yeye Jana hakuhudhuria mazoezin na wala hajaumia zaidi yakuuguza majeraha aliyopata huko South Africa
Swali linakuja Huyu msemaji wa tff taarifa zake anapata wapi vp mamlaka iliyomteua inaridhika na haya hawaoni taswira ya taasisi kubwa Kama hyo inaharibika
Nimewaza mbali zaidi Au kuna mpango wa kumuondoa pale tff kwa kumuundia zengwe tu kwa kumpa taarifa zisizo sahihi
Karibuni wakuu kwa mjadala zaidi