Utata wa kauli za msemaji wa TFF zinatuweka njia panda watanzania

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,303
Reaction score
14,983
Habari wanamichezo

Niende kwenye Mada moja kwa moja kuna sintofahamu zimetokeo kunako shirikisho letu la mpira wa miguu TFF juu yataarifa zao kupitia msemaji wao ndugu Clifford Mario Ndimbo nianze na sakata la kagera sugar ambapo alitutangazia kuwa imeshuka daraja lakn siku moja baadae ikawa tofauti kagera haikutakiwa kushuka daraja

Kituko kikubwa Jana katuambia mchezaji wa taifa stars shomari Kapombe ameumia Jana mazoezin hvyo wanasubir Taarifa ya daktar

Kituko kimekuja alipoulizwa mchezaji anasema yeye Jana hakuhudhuria mazoezin na wala hajaumia zaidi yakuuguza majeraha aliyopata huko South Africa

Swali linakuja Huyu msemaji wa tff taarifa zake anapata wapi vp mamlaka iliyomteua inaridhika na haya hawaoni taswira ya taasisi kubwa Kama hyo inaharibika

Nimewaza mbali zaidi Au kuna mpango wa kumuondoa pale tff kwa kumuundia zengwe tu kwa kumpa taarifa zisizo sahihi

Karibuni wakuu kwa mjadala zaidi
 
Lazima atakuwa na source iliyomwingiza chaka....!.uungwana aje tena kurekebisha
Inawezekana ukiangalia kiundan n vimitego vdogovdogo anashindwa kuruka viunz toka lile la kagera iltakiwa ilipaswa awe makini Sana
 
Inawezekana ukiangalia kiundan n vimitego vdogovdogo anashindwa kuruka viunz toka lile la kagera iltakiwa ilipaswa awe makini Sana

Hizo ni FITINA pale zipo za mwendo kasi si kuanzia leo hapana ukiingia pale unatafutwa ndani nje, watu wanataka utoke ili wao waingie. Kuna mmoja aliwekewa CD fake ya Wimbo wa Taifa kimbembe chake hakikuwa cha mtoto. Yaani pale unatakiwa ujipange hasa na uwe na mtu wako wa karibu kukusaidia. Yawezekana alilishwa tango pori
 
Huyo wa CD fake alikuwa Florian Kaijage mkuu kweli pale n kiti cha moto naona na hii afcon watu wanataka wapae na pipa egypty maana Pa diem inatafutwa
 
Mkuu sasa unajua mambo ya makazn yalivyo majungu umbea na upashukina n sehemu ya maisha ya mtanzania mkuu Au pia ukilaza wake umechangia kutokufuatilia mambo
YEYE AINGIZWE CHAKA MAANA YAKE HANA AKILI AU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…