Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Wewe unaamini Amina,Komba au Del Monte wameuawa?wakati Chain ya Amina tumeshazika karibia 4
Mantiki yako sijui nini haswa kuwa Amina Chifupa akuuawa na genge la drug dealers au?
Kwamba Kolimba akuuawa ?

Kwamba Kighoma Malima akuuawa ?
Kwamba Sokoine died a natural death?
Kwamba Imran assassination was not planted? Vipi kuhusu Mgimwa ?

Ngojea nikuache uenda nabishana Na chemistry with physics.
 
HAYA MAMBO NI MAZITO KUYASEMASEMA KWENYE KADAMNASI BILA YA KUWA NA TAHADHARI NI TABU KIDOGO....
UKIZINGATIA KWAMBA SIKU HIZI KUNA LILE LA TAKWIMU

Na hivi hatujuani, utashangaa kuna Kiroba cha Mwili wa Pohamba kimeokotwa Coco beach Halafu Mamlaka zinasema Labda wahamiaji wa kisomali wanaokimbilia South Africa wameuawana
 
Dead and gone! Life goes on.
 
Na hivi hatujuani, utashangaa kuna Kiroba cha Mwili wa Pohamba kimeokotwa Coco beach Halafu Mamlaka zinasema Labda wahamiaji wa kisomali wanaokimbilia South Africa wameuawana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] NI SHIDA KWAKWELI
 
Mantiki ni kuchanganya watu ambao vifo vyao vina utata na watu wanaojulikana vyanzo vya vifo!hata kwenye maisha ya kawaida unaweza kumwambia mtu utaona akafa kwa issue nyingine jamii isikuelewe; Amina hakuna aliyemuua na watu wake wa karibu wanalijua hilo! Mpakanjia naye aliuawa?

Mtu kama JB Delmonte nadhan kuna hadi uzi wake humu watu wanaomjua jinsi alivyokua anawaambukiza dada zetu alafu anakufa unasema ameuawa!Komba alimuuua nani na kwa malengo gani?uzushi
 
Ben katajirika pia kupitia vita ya congo kama hujui,unakumbuka scandal ya silaha zilizokuwa zinashukia uwanja wa ndege wa mwanza
Benja aliuza sana siraha Congo wakitumia ndege zinazoijia minofu ya samaki hadi alipokuja kuumbuliwa na ile documentary ya Darwin's nightmares, ambayo waliipiga marufuku kuoneshwa bongo.
 
Benja aliuza sana siraha Congo wakitumia ndege zinazoijia minofu ya samaki hadi alipokuja kuumbuliwa na ile documentary ya Darwin's nightmares, ambayo waliipiga marufuku kuoneshwa bongo.
Ipo siku huu ukweli utakuja kuwekwa wazi hata ipite miaka miambili nakumbuka hiyo documentary ilitoka mwanzo wa utawala wa mkwere
 
Jamanii mnapotaja mngoni, sijui nani wengine hatuelewi tumezaliwa 2000s ndo bado tunatafuta uelewa..

Msitumie mafumbo sana hatuelew chovhote wengine
 
Asante mkuu.Basi mi nilikua nadhani kuna kikundi cha watu wanajiita ivyo kama ilivyo boys2men[emoji23] [emoji23]
 
Lakini usipime nguvu ya hao jamaa
Vasco da Gama Ni mtoto wa mjini anajua sana kucheza karata zake , Aziza huko alipo anaendelea na kazi zake kumbuka undercover agent of CIA usiulize maswali Mengi elewa hivo hivo , Olegwain huko Kinondoni mission yake Kama vile haipo kumbe yupo ila he is killing opposition parties via cdm slowly.
 
Be blessed mkuu, nondo zako huwa nazikubali na kuzielewa sana laiti kama tungekuwa na walimu wanaotoa maelezo kama haya madarasani basi tungekuwa na wasomi wengi wenye ufaulu mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…