Bila shaka humtambui vizuri uliem-quote, sorry for you.Watu mnaweza kutunga nimekuvulia kofia;unataja hadi watu waliokufa kwa ngoma na chain inajulikana unawapa dhambi watu ya kuwaua
Unachanganya madesa Mkuu, Dully(mwanamziki) si mtoto wa wa huyo Skyes hapo juu.alikuwa nani na kwann mwanae dully sio mwanasiasa...alifanikisha nn ccm nk?
Kuna wana historia wazuri kama Huyu Mohamed Said na Ahmed Rajabu, nadhani michango yao ingehitajika hapa sana, hata kwa ID fake.View attachment 661785chukua nondo hiyo, acha kuuliza maswali somaaa
unazijuahesabuzamafumbo?Unachokifanya Mack Wild ni kukomoa sisi tusiojua, ushanitia hasira hadi nataka kutupa simu..
Andika vzr na sisi tuelewe..🙂🙂🙁🙁
Dadavua kidogo kuhusu huyu prof huwa naona jina bila nondo zinazomuhusu, VP hadi PK akamnyemelea?Muambie pia atambue kuwa Kagame ana kikosi chake kilichosambaa maziwa makuu mpaka South Afrika inajulikana kama " ESCADRON DE LA MORT" hicho kikosi kimeondoka Na wengi lakini la kukumbukwa na wengi ni Mtikila na Mwakyusa Juan Profesa R.I.P.
Hv Kolimba nae alikuwa
Alikuwa mtu wa itifaki, na mtu wa itifaki si mkaa bure.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmmmh huu uzi kiboko Izi codes za humu kama ww ni mkoromije huwezi ztambua unaanzaje sasa kuitambua DSTV ukiingia kichwa kichwa una weza hisi wana zungumzia multichoice na supersport kumbe ni hidden code
Hii imesha eleweka vizur kama hua unapita mataa ya St peters kuelekea town bas utakua umesha elewa nn kinacho zungumziwa hapaNaumiza kichwa but bila bila sipati kitu kuhusu DSTV!!wakuu wahenga dadavueni hata kwa mbali tuwezapo kuelewamo
Hii imesha eleweka vizur kama hua unapita mataa ya St peters kuelekea town bas utakua umesha elewa nn kinacho zungumziwa hapa
[emoji23] [emoji1] watanzania bhana sasa badala ya kunisaidia unaanza kukejeli unajua huenda nilikuwa nje ya nchi, na historia ya Tanzania siifahamu vyema.Watu kama nyinyi mnapaswa kuchemsha maharagwe
Sio kwamba tunawakodi ila wanakuja kwa ajili ya special missions to be accomplished. Tena huwezi amini wengine wamekuja juzi juzi tu hapa kama miezi 13/14 hivi iliyopita baadhi wakiwa ile jinsia pendwa ya 'Ke'.Mkuu kwahiyo unamaanisha, hapa kwetu hatuna I.T experts mpaka tukakodi nje? kama ni hivyo hivi vyuo vifungwe sasa, havina maana ya kuwepo .
Tulioko mikoani[emoji24][emoji24]Hapo sasa ndo naanza kuelewa!!Thanks mkuu
[emoji23] we boya hebu niacheMaongezi ya watu wazima hayakuhusu
Tulioko mikoani[emoji24][emoji24]