Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

Naam!

Kwenye siasa hakuna kuaminiana!

Mwalimu yawezekana walipita naye!

Aliyepita na mwalimu akagoma kubariki mpango wa kupita na jiwe naye wakaamua wapite naye na jiwe wake!

Waliopita na aliyepita na mwalimu (na jiwe wake) nao watapitwa na atakayekuja kama wataingilia maslahi ya wakuu wa mfumo....

...and the cycle continues.

Fanya yote lakini usiingilie mfumo. Nobody is above the system....

Hivyo ukiona kiongozi mkuu anashindwa kujiripua na kuchukua maamuzi mazito jua kuwa anauogopa mfumo na makucha yake. Ndiyo maana jiwe alikuwa hachoki kuomba kuombewa....Mara nimejitoa ku-sacrifice maisha yangu kwa ajili ya Watanzania....Mara mtanikumbuka. Alijua kuwa kwa kwenda nje ya mfumo jamaa watapita naye tu.....na alikuwa sahihi!

Tuwe tunawaombea hawa viongozi kila tukipata nafasi. Wengine wapo pale tu kama maroboti yanayoendeshwa na wenye mfumo....Ooooh mnaiba sana. Kwani mtazikwa nazo? Stupid kabisa!
 
Daah, alikufuru kama vile Bwana Yusuph Makamba alivyokufuru kwa niaba ya Bwana Jakaya na Bwana Kinana. Ati wema hawafi, kana kwamba yeye ndiyo Mungu...

Kuna mwingine naye alisikika akikufuru Mungu wa Wakristo kwa kumfananisha marehemu mmoja na Simba wa Yuda. Alidhamiria kuwakashifu na kuwatukana wakristo.

Naamini kama yaliukuta mti mbichi kama Nyerere, basi hata miti mikavu yatawakuta tu. Ni suala la muda.

Kuna usemi mzito sana nilishawahi kuusikia kutoka kwa wazee fulani ambao binafsi naomba usitokee, eti kwamba: Mzee Mwinyi is the only Tanzania President that will die a natural death.
 
Mwaka 2019 kuna mzee aliwahi kuniambia maneno haya: Until recently, Mzee Mwinyi is the only Tanzanian President that will ever die a natural death.

Akaniambia tena kwamba, bwana yule mwingine vita yake isingekuwa mwaka 2020 kipindi cha uchaguzi kwasababu nchi ingechafuka, hali ingekuwa mbaya na hata wao wangepoteza mengi. Ila ingeanza punde mwaka 2021 baada ya uchaguzi wakati nchi imetulia.

Kiufupi ni kwamba, hata ambaye leo hii anaonekana ndiyo mshindi wa mchezo kuna siku atanasa kwenye mtego na wenzake wataondoka naye. Kuna baadhi ya mambo huwezi kuyafanya halafu ukatoka salama.

Damu ni nzito, lakini kuna baadhi ya damu za watu ni nzito zaidi, hasahasa damu ya mtu ambaye ni kiongozi wa nchi kubwa kama yetu. Awe ni mwema au mbaya, ikimwagika kwa dhuluma au hila lazima kuwe na madhara makubwa tu.

Ukifuatilia mwenendo tokea awamu ya kwanza utafahamu jinsi hawa wabwana wamekuwa wanafanyiana na mwishowe yawanawarudia wenyewe. Mzee Mwinyi tu alipona-pona kidogo kutaka kuingia kwenye huo mtego nayeye. Mungu aendelee kumpa uzee mwema.
 
Hapo umeshindwa kuelewa utamu wa lugha, kuna msemo unasema "wema hauozi".

Kama hayo ya Makamba juzi tu Kabudi kayarudia kwa Nyerere, hukumsikia?

, Ni utam wa lugha tu, haimaanishi neno kwa neno (metaphorically).
 
Hapo umeshindwa kuelewa utamu wa lugha, kuna msemo unasema "wema hauozi".

Kama hayo ya Makamba juzi tu Kabudi kayarudia kwa Nyerere, hukumsikia?

, Ni utam wa lugha tu, haimaanishi neno kwa neno (metaphorically).
What's good for the goose, is also good for the gander.

If Makamba's diction was a display of his linguistic prowess, as you have come to his defense, then it wouldn't have bothered President Samia to call it out as a slip of a tongue and embarrassingly apologize before the beleaguered widows. Unless, you're of the opinion that Makamba's diction was too sophisticated that it went way above President Samia's intellectual pay-grade.

Be it metaphorically, poetically, philosophically or rhetorically, blasphemy cannot be sugar-coated, and God cannot be mocked, and will never be mocked. Yes, it may take time, but eventually the chickens will come home to roost.
 
Baya lipi nililolisema, au unaota?
Mara hii umezisahau comments zako huko juu ?!!!

Si wewe uliyesema mengi kwa stihizai mojawapo "kushangaa kwake mtoto anakufa" ....je stihizai kwa marhum yajuzu ?!!!!
 
Mara hii umezisahau comments zako huko juu ?!!!

Si wewe uliyesema mengi kwa stihizai mojawapo "kushangaa kwake mtoto anakufa" ....je stihizai kwa marhum yajuzu ?!!!!
Inukuu, kama huelewi kunukuu sema ipo post namba ngapi?
 
Huo mfumo Nani ni kiongozi wake?
 
Kumbe CCM Kumalizana wameanza siku nyingi?
 
Ni Nani hao wakuu WA mfumo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…