The only JF-Expert Member Joined May 19, 2011 Posts 11,197 Reaction score 14,771 May 12, 2023 #581 Phillipo Bukililo said: Kwa hiyo Mwinyi ataishi miaka 200?. Click to expand... Umri mrefu ni baraka hata kwenye biblia waovu hufa mapema
Phillipo Bukililo said: Kwa hiyo Mwinyi ataishi miaka 200?. Click to expand... Umri mrefu ni baraka hata kwenye biblia waovu hufa mapema
P Phillipo Bukililo JF-Expert Member Joined Dec 29, 2015 Posts 18,473 Reaction score 13,629 May 12, 2023 #582 The only said: Umri mrefu ni baraka hata kwenye biblia waovu hufa mapema Click to expand... Ni kweli kabisa, Baba yangu mwaka huu anafikisha miaka tisini Mungu akipenda mwezi Desemba.
The only said: Umri mrefu ni baraka hata kwenye biblia waovu hufa mapema Click to expand... Ni kweli kabisa, Baba yangu mwaka huu anafikisha miaka tisini Mungu akipenda mwezi Desemba.
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,104 Reaction score 75,552 May 12, 2023 #583 The only said: Umri mrefu ni baraka hata kwenye biblia waovu hufa mapema Click to expand... Mwovu alifyekelewa mbali na Corona
The only said: Umri mrefu ni baraka hata kwenye biblia waovu hufa mapema Click to expand... Mwovu alifyekelewa mbali na Corona