ANDENDEKISYE C
Member
- Mar 5, 2012
- 90
- 23
Habari wana jukwa,
Ndugu yangu anataka kuanzisha shule. Lakini hana majengo. Taratibu ni kwamba lazima awe na majengo ya kwake sio kupanga....sasa anabakiwa na yafuatayo;
1. Ama asajili kwa jila la mwenye eneo, na mwenye eneo ndio awe kama mmiliki. Je mkataba wa aina gani unaweza kumlinda yeye mbeleni
2. Ama aingie ubia na mwenye majengo.....lakini kama kawaida mambo ya ubia yana changamoto zake wakati fulani.
MSAADA TUTANI TAFADHALI