Utata wa lugha ya Kiswahili

Xav Emmanuel

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2018
Posts
215
Reaction score
316
Tumia Kiswahili kuonesha utata wa Lugha.

- Ni kwa vipi Lugha imekuwa gumzo kutokana na baadhi ya maneno kuingiliana, kufanana au kukosekana.

- Au ni vipi watumiaji wa lugha walivyo kuwa na uelewa tofauti juu ya maana nyingi na zisizo kusudiwa za lugha, karibu.

Mfano: Maneno kama "Nimegongwa" usipotoa ufafanuzi unaweza kuangukia kwenye ngono zembe.

Karibuni.

Starxav
 
Hii inatokea kwenye lugha nyingi yaani neno linapata maana mpya ambayo imeegemezwa kwenye maana ya awali hiyo huitwa utanuzi wa maana (semantic expansion)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…