Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,710
- 5,054
Hamna kitu kinaitwa Makabila ya Mipakani. Ila Kuna makabila yaliyopo pande zote katika nchi mbili zinazopakana. Mfano Wamaasai wapo kuanzia MASAI Mara hadi Mvomero na Kilosa. Tambarare lote la bonde la ufa kuanzia Kenya, Ngorongoro, Longido, Monduli, Simanjiro, Kiteto hadi Mvomero na Kilosa ni Umasaaini.Mlima Kilimanjaro ni ardhi hiyo sio maji
Ila tukisema tufumue mipaka mpaka ya ardhi mambo yatakuwa mengi na itabidi tufuate makabila yaliyo mipakani ya nayo ingia nchi zaidi ya moja ili yakae kwenye nchi moja,maana hapo tutakuwa hatuitaki kabisa mipaka ya kikoloni tutakuwa tunaitakamipaka yetu sisi wenyewe tutayoiweka.
Utasemaje Wamaasai ninkabila la Moakani.
Upande wa Mwambao Wadigo wanaanzia Mombasa hadi Tanga.
Hivyo, mipaka halisi kama tunahitaji kuwa na mipaka kufuata alama muhimu kama mito, milima, maziwa n.k