Utata wa nyumba mpya ya Diamond waibuka

  • doricemwalongoInaonekana wewe dada analipwa mshahara mnono sana maana duuu! Ivi unafanya kazi ofisi gani mpaka unapata muda wa kufanya hayo yote acha hiyo tabia binti hayo ni maisha yao waache haitakusaidia chochote binti
  • ayah.babyBii vuzi angekuwa na hela angefanyiwa birthday ya anti na iyobo kaa guest.pliiiz safe the crap Hana hela wala kazi
    • robert_donaldrobitoWe nae umetuchosha kila kitu ukijue ww umekua Google kwendraaaaa bana hata kama hawajanunuliana nyumba yanakuhusuuuuuu
    • phionafifiiLool u are one sad lady mange,like seriously u need to grow up
    • sophy_kayombondo maana haumpendi huyu mwanamke @getrudeshussa
    • noree6600Ww muongo sana mange huwa siyaaminigi maneno yako alaf ndo maana hao wakenya wanasema wabongo wanawazaga. Umbea tuu
    Like
 
Nimependa huyo alieuliza kama amekua google
 
Mange amedata, umesikia ameweka clip "nampenda binti kizee" kwenye caption ya baba na mama T
Hahaha ...kumbe ndo.yeye..nimesikia sikia.tu.bado sijaipata hio.clip...aisee
ila seriously naomba niulize kua ule ujumbe aliouweka mr diamond kwenye zile picha za nyumba ulikua wa ivan ama mange?? Koz naona diamond angepeleka hayo maneno kwa mange sio.ivan namuona jamaa yuko gentlemen hana time na mtu yeye hua anapost maburungutu ya hela tu.
 
Vizur kuwaza mambo yatakayokufanya siku ukiwa haupo duniani ukumbukwe. Yaani uwepo wako duniani umeongeza nini cha maana kuliko kujadili watu wengine nadhani haisaidii sana.
 
Kitu gani ambacho aliwahi kusema kanunua au kafanya watu wakakosa kusema anadanganya.
Tatizo watu kisa hawana uwezo hawaamini macho yao pale mtoto wa tandale anapofanya yale waliyoshindwa kufanya wale wanaojiita watoto waliozaliwa ushuani.
Walianza hana mbegu akampa mimba zari akapata mtoto.
Wakaja tena mange eti mtoto wa katunzi mara ivan; wakaanza DNA Mungu akawaambua mtoto diamond copy.
Wakaanza kazaa na bibi mara sijui nini.
Na hili atawaumbua
 
Huo mjengo wa huyo kijana utawatoa roho wenye wivu maana wanaacha kufanya mambo yanayowahusu wanaanza kupika majungu kuhusu huo mjengo,hongera zake kijana ila kama anatupiga kamba atakuwa boya sana!
Umeongea la maana sana,KAMA SI WAKE YEYE NDIO BOYA.
 
Mange amedata, umesikia ameweka clip "nampenda binti kizee" kwenye caption ya baba na mama T
Hivi mange na zari nani mkubwa jamani??haahaha
Jaman mange ana wivu sana pia atakua na roho mbaya yaani yote hayo kisa dai alimuacha wema
Wema mwenyew hanaga time na huyo mange,
Mange analazmisha kua maarufu
 
Diamond ana mheshim mwanaume mwenzie kamwe hawez mpa dongo ivan
Baadhi ya wa tz wana matatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…