Bintiwamoyo
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 610
- 827
"Kigezo cha super star wa nchi za wenzetu" halafu ukiambiwa umekariri maisha unakataa. Diamond ni super star wa Tz. Kwa vigezo vya Tz anafanya vizuri na anapesa ndefu. Hao unaomfananisha nae haina tija ili mradi Diamond ametutoa kitaifa na ukimfananisha na wasanii wa Tz amefanya vizuri mnoo.nimechukulia kigezo cha super star wa nchi za wenzetu.. kumbe nimekosea ?
soma hoja ya msingi inayoongelewa then ndio uchangie kupitia migongo ya watu..suala hapa ni je amenunua nyumba SA? Meanwhile hapa kwao amejenga kwenye njia ya mto?"Kigezo cha super star wa nchi za wenzetu" halafu ukiambiwa umekariri maisha unakataa. Diamond ni super star wa Tz. Kwa vigezo vya Tz anafanya vizuri na anapesa ndefu. Hao unaomfananisha nae haina tija ili mradi Diamond ametutoa kitaifa na ukimfananisha na wasanii wa Tz amefanya vizuri mnoo.
kwa sababu najua sheria za SA kuhusu mgeni kununua na kumiliki mali isiyohamishika.. kwani wewe kilaza hujui kwamba hata TZ mgeni haruhusiwi kumiliki mali isiyohamishika?Wewe umejuaje kama Diamond haja kidhi vigezo?
kwa sababu najua sheria za SA kuhusu mgeni kununua na kumiliki mali isiyohamishika.. kwani wewe ****** hujui kwamba hata TZ mgeni haruhusiwi kumiliki mali isiyohamishika?
weka hakiba ya maneno.. unakumbuka Marehemu Kanumba alipiga picha akikabidhiwa tunzo kule marekani? Na sio sheria zangu ni sheria za SAIG leo Diamond kaweka video clips akikabidhiwa rasmi mjengo wake SA na mama mtu mzima wa KIZUNGU maana ukiona mama wa Kizungu naona ndio utaamini. Sheria zako za majitaka sijui huwezi miliki jingo, tupa kule. kapewa mjengo leo. Una lipi la kutuambia maana unaishi huko japo inaelekea choka mbaya
Bro,we unatatizwa na kipi ........???weka hakiba ya maneno.. unakumbuka Marehemu Kanumba alipiga picha akikabidhiwa tunzo kule marekani? Na sio sheria zangu ni sheria za SA
ITAFAHAMIKA TU NI MATTER OF TIME,UMEONA MJENGO WA WEMA ULE WA MILIONI 400 ALIONUNUA?IG leo Diamond kaweka video clips akikabidhiwa rasmi mjengo wake SA na mama mtu mzima wa KIZUNGU maana ukiona mama wa Kizungu naona ndio utaamini. Sheria zako za majitaka sijui huwezi miliki jingo, tupa kule. kapewa mjengo leo. Una lipi la kutuambia maana unaishi huko japo inaelekea choka mbaya
Duuuuuuuuuuh !!!! aibu naona mimi,japo upuuzi umeuongea wewe.ITAFAHAMIKA TU NI MATTER OF TIME,UMEONA MJENGO WA WEMA ULE WA MILIONI 400 ALIONUNUA?