Utata wa riba katika mikopo inayotolewa na Mabenki

Afisa mikopo:
(kwa lugha laini kabisa) Ukikopa mil 12 riba yetu ni 16% tu, hivo utakayopewa ni mil 15, mkononi utapata mil 12.5 makato ni haya, kwa muda huu karibu sana, karibu.

Wewe: 😋😋😋

Baada ya muda
salary slip: deni mil 48

ndo utajua haujui
 
Fafanua mkuu
 
12,000,000tsh.= 100%
? = 16.

(12,000,000tsh X 16%)/100%

192,000,000tsh./100

1,920,000tsh. Faida yao Kwa mwaka.

1,920,000tsh. X 5 years

9,600,000tsh. Faida yao Kwa miaka 5

12,000,000tsh. Mkopo + 9,600,000tsh faida yao

=21,600,000tsh. Jumla ya deni lote.

=360,000tsh./month.

Kwa straight balance.


MAGUFULI4LIFE.
 
Hajasema BAYPORT ni crdb na NMB.



MAGUFULI4LIFE.
 
Kausha Damu
 
Reduced balance rate, rate inapigiwa kwenye amount ya mwisho iliyopatikana ndiyo inatumika, hiyo formula sio rafiki na inakupa riba kubwaa si utanchanganyikiwa
 
13% kwa mwaka mkuu hivyo miezi 60 ni sawa na miaka mitano sasa tafuta mwenyewe iyo 13% ya mkopo wako ni shilingapi kwa miaka mitano by compoud interest


Samahanini jamani ili taifa lina wajinga sio kawaida
Wewe pia ukiwemo maana hahaha hujamshauri vile inapaswa maana hata wewe umekosea riba haipigwi kama hesabu zenu mlizokalili shida hiyo, riba inapigwa ka reduced balance rate
 
Kitambo, labda kama we huwa unakutana na afisa mikopo mkweli.

Mkweli nilikutana nae Bank ABC jamaa anakuambia kila kitu kwa ukweli na uwazi chaguo linabaki kwako, sio hawa fisi wezi wezi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka, riba yao kiasi gani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka, riba yao kiasi gani
Hazina tofauti na hawa wengine.
Nilichopenda kule natuma picha na salary slip tu whatsapp nawait mpunga.

Ila jamaa anakuelimisha na kukuelewesha na kukuambia option ambazo ni affordable, nmb sio wakweli kinachosemwa na kinachofanyika tofauti
 
Hazina tofauti na hawa wengine.
Nilichopenda kule natuma picha na salary slip tu whatsapp nawait mpunga.

Ila jamaa anakuelimisha na kukuelewesha na kukuambia option ambazo ni affordable, nmb sio wakweli kinachosemwa na kinachofanyika tofauti
Safi sana so far wana huduma nzuri wazungu pia wanaipenda sana hiyo bank, hata ukitaka kwenda nje ya nchi wana huduma itakayo kuwexesha kufanya miamala kwa urahisi punde haupo Tanzania [emoji1241]
 
Yaani tuwatumainie hawa kiongozi corrupt ktk kutatua changamoto zetu wakati ndio sehemu ya hayo yote
 
Kitambo, labda kama we huwa unakutana na afisa mikopo mkweli.

Mkweli nilikutana nae Bank ABC jamaa anakuambia kila kitu kwa ukweli na uwazi chaguo linabaki kwako, sio hawa fisi wezi wezi
Halafu ukizingatia crdb na nmb ni miongoni mwa benki zinazoaminiwa na serikali.

Hawa Bayport wenyewe walishajitanabaisha kabisa kuwa ni genge la wahuni wanaoaminiwa na serikali.
Lakini Kwa hao wa nmb na crdb labda tuwape muda watumishi wao kabla hatujaihusisha benki nzima.

Inakatisha tamaa.




MAGUFULI4LIFE.
 
Haya mabenki riba zao zipo juu sana tena sana hizo riba ni za kinyonyaji sana,mabenki yote Nmb,Crdb na zingine ,wao wana chukua mkopo kwa 6% BoT lkn kwa unyonyaji wao wenyewe wanatoa kwa 16% huo ni unyonyaji mkubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…