Utata wa utapeli biashara ya kuni

ashy me

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Posts
460
Reaction score
299
Habari za humu brothers nd sisters .....

Nimepokea shutuma katika moja ya thread kuhusu biashara ambapo muhusika alikuwa akihitaji ushauri kuhusu biashara ya kufanya na mima kumshauri kufanya biashara ya kuni na nikaeleza inavokuwa

Utata ulikuja hivi mimi toka kipind kidogo situmiagi mtandao tokana na kuwa bize na kazi kijijini sasa ilibidi nitafute kijana atayetangaza biashara yangu kwa mtandao mbali mbali.

Huyu kijana ni mwalimu ila hajaajiliwa sasa alikuja changanya watu baada ya disemba nadhani kuweka thread akitafuta kazi ya ualimu na huku akiwa anatangaza faida juu ya biashara ya kuni hapo nikiri ilikuwa ni haki watu kutudhania vibaya na ndo maana Leo nimepata muda nisafishe shutuma hizo .

Mimi mwenyewe ndio muhusika wa biashara hii labda si mtu wa mtandaoni kiivo na nimesajiliwa na TFS kufanya biashara hii na mimi nilileta wazo tu kwa yeyote anaetaka kufanya si lazma aje kwangu sasa hapo utapeli unatoka wapi.

Mimi nimeleta wazo jinsi biashara inavokwenda na ushauri kwa watu ilikuwa wachunguze ni kweli nikisemacho au laa na si kumshambulia aloweka thread japo nikiri kosa lilifanyika kwa huyu kijana kwa kuchanganya watu ikiwa mtu anataka thibitisha basi aje stoo yangu ipo ukonga Mombasa utajionea mwenyewe.

Unaweza pitia tafuta watu wengne wenye kufanya biashara hii wakakifafanulia inakwendaje kwasababu mimi sitegemei nikuletee mteja mzigo ndo nipate kitu hapana niko na stoo yangu na inafanya vizuri.

Niombe radhi kwa walokwazika na nasisitiza watu waingie kwa biashara hii na wachague yeyote wa kufanya nao kazi kwasababu inalipa sana Allah akipenda mimi nimeleta wazo tu na ushauri kwa mwenye kujiuliza afanye biashara gani na wako weng wenye biashara hii basi wafate waulize watakufahamisha ikiwa umentilia mashaka ilhal nikikuuliza.

Nakutapeli kivipi hutoweza eleza ikiwa wahitaji maswali na ushauri juu ya biashara ya kuni basi nicheki 0685580057 Allah awasamehe wote waloweka dhana mbaya juu yangu upande mwingine ni makosa ya huyu kijana nilomweka ila sasa niko mwenyewe in sha Allah
 
Weka links za hizo thread zilizopita ili twende sawa,
Manake hata tushakusahau
 
Weka links za hizo thread zilizopita ili twende sawa,
Manake hata tushakusahau
Sijui hta kuweka links na siingiag sana humu ila kuna kijana nlimpa hii kaz anisaidie ndo alichanganya watu ila kuna mtu kaweka naona na kutuhumiwa utapeli n kwenye thread ya mda kidg ya mtu akiomba ushaur na mm kama walivomshaur weng huyu kijana nae alimshaur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…