Utata

Hamna limitations tena dearest....siri za vyumbani nazo zinaanikwa barazanii!!

Mzima lakini?
Mambo liz umesalimika na mabomu ya Arusha leo ? nilikuwa na hofu juu yako.Mazungumzo ambayo hayakuhusishi wewe inabidi uyaache hapohapo ulipoyasikia ni kosa kama kupiga chabo,watu hawataki kuwapa privacy wenzao.Halafu hili la ukabila nitapambana nalo mpaka waelewe watu.
 
sasa hivi hata yanayozungumzwa kitandani....jinsi mtu anavyoona sifa kutoka nje ya ndoa yote yanawekwa hapa....kazi kwetu kujadili.....:A S 13::A S 13:

Michelle unaonekana una busara sana, nimeona nikupongeze tu ningetamani hata kukuona kama upo uwezekano.
 
si yetu kazi kusoma na kujadili tu hakuna la ziada....ukichoka unasepa kimoja!

mimi mzima,kweli nina m-miss Hashy.....akirudi nikiwa sipo mwambie nilim-miss sana!!!

Mhuuuu!!!
Mhh unaenda wapi tena mpaka mchumba akija akukose?
 

Mi mzima....mbona sijasikia hiyo ishu ya mabomu!!:A S 13:Huku UngaLTD habari zinachelewa kufika!!!

Yaaani wananiboa hawa watu na ishu za makabila!!Alafu hata siku moja huwezi kukuta wanachambua yakwao...
 

Join Date : 16th November 2010
Posts : 50
Thanks 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power : 21

Kwa hii sredi kweli wastahili
Tangu mi sijazaliwa, duuuh
 
Sasa umewakilisha nini ? uelewa wako finyu,ukabila, au dhana potofu.Halafu ubahili wa wanaume wa Kichagga we utakudhuru vipi ? we si mwanaume au nawe unataka kuolewa.

taratibu kaka!! angalia ucmtoe damu.
 
Siungewafuata ukawauliza?Mnaboa na kuchambua kabila letu kila leo!!Hamachoki??


Ila kawataja wanaume dada Lizzy, nadhani wanawake wa Kichaga wako fresh...Wachakalikaji I like it.
 
Ila kawataja wanaume dada Lizzy, nadhani wanawake wa Kichaga wako fresh...Wachakalikaji I like it.

Hata kaka zetu hawana tatizo lolote...na kama lipo ni la binafsi sio la kikabila!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…