Naomba kufahamishwa dawa nzuri kwa kazi hiyo mkuu kama hutojali.Najihusisha na hii biashara ya kuuza mbao,,.
Nashauri ukitaka uwe na uhakika zaidi kuwa mbao zako zimepakwa dawa, husitake huuziwe mbao ambazo muuzaji atakwambia tiyari ashakupakia dawa bila wewe kuona.
Nunua mbao, alafu nunua dawa mwenyewe na muuzaji akusaidie tu kukupakia dawa. Hii njia ni ya uhakika zaidi.
Binafsi nafanya biashara hii nikiwa Mwanza, center ya Nsumba.
Bei zangu ni kama ifuatavyo :
-2*2: Tsh 2,500.
-2*3: Tsh 4,500.
-2*4: Tsh 5,500.
MBAO ZANGU NI KUTOKA BUHINDI.
Husijali mkuu,,Naomba kufahamishwa dawa nzuri kwa kazi hiyo mkuu kama hutojali.
Hivi unaweza kupaka hizi dawa mbao zikiwa zimepigwa Kenchi tayari kwa kutumia mabomba kama yale ya kupulizia dawa shambani?Husijali mkuu,,
Dawa ninayoitambua mimi na hiyo ni kutokana na ubora wake (kwa imani yangu binafsi) inaitwa "TASKAN".
-Ni nyeusi kwa rangi(kama ilivyo rangi ya soda ya Mirinda nyeusi.)
-Ni nzito (Maana ya kwamba uzito wake sio sawa na ujazo wa kimiminika cha kawaida. Mfano lita moja hiyo hiyo lkn ukibeba unasikia uzito wa zaidi ya lita moja ya maji.)
-Rangi ni nyeusi lkn ukiitia kwenye mbao haziwi nyeusi. Muonekano wake unaweza kufananishwa kwa ukaribu na ile rangi iliyopo kwenye nguzo za umeme wa Tanesco.
We jamaa unakazi ngumu sana.Ngoja waje kukupa muongozo...
😅😁KwaniniWe jamaa unakazi ngumu sana.
Hapana mkuu..Hivi unaweza kupaka hizi dawa mbao zikiwa zimepigwa Kenchi tayari kwa kutumia mabomba kama yale ya kupulizia dawa shambani?
Ahsante mkuu, Kwa hiyo mvua ikinyeshea mbao zilipigwa dawa, hiyo dawa hautoki? Nahofia maana mbao zangu nishapiga Kenchi lakini bati bado na mvua ishanyeshea kama mara tatu hiviHapana mkuu..
Hii dawa ili iweze kupenya vizuri kwenye ubao, ni lazima ubao ulowekwe kwenye mchanganyiko wa dawa afu utolewe huanikwe mpaka ukauke.
Hapana haitoki maana ile dawa inapenya kabisa mpaka ndani ya ubao mkuu.Ahsante mkuu, Kwa hiyo mvua ikinyeshea mbao zilipigwa dawa, hiyo dawa hautoki? Nahofia maana mbao zangu nishapiga Kenchi lakini bati bado na mvua ishanyeshea kama mara tatu hivi
Ahsante kwa kunielimisha mkuu. BarikiwaHapana haitoki maana ile dawa inapenya kabisa mpaka ndani ya ubao mkuu.
Mfano ni hizi nguzo za umeme wa Tanesco, hata zinyeshewe vipi ile dawa haitoki.
Amina mkuu,, na karibu tena.Ahsante kwa kunielimisha mkuu. Barikiwa
Kulowekwa ni kwa muda gani? Au unachovya na kutoa. Kuna wengine huchovya ila rangi watumiayo ina ukijani hivi.Hapana mkuu..
Hii dawa ili iweze kupenya vizuri kwenye ubao, ni lazima ubao ulowekwe kwenye mchanganyiko wa dawa afu utolewe huanikwe mpaka ukauke.