Utatambuaje Mercury fake na original kwa kutumia maji?

mangia22

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
447
Reaction score
185
Habari za muda huu wajasiriamali wenzangu. kwa mwenye utaalamu kidogo na hii kitu naomba anijulishe tafadhali
 
sory ukimimina kwenye kitambaa chochote kile na siyo cheupee tu ukikamua mercury itapenya. isipokuwa inategemea na matundu ya kitambaa. kama ni makubwa itapenya kwa wepesi zaidi na kama ni membamba itapenya kwa tabu.
 
Nina brother wangu ana red mercury zaidi ya gram 100 yenyewe ni nzitonzito na ukiiweka kwenye maji inaweka yigololi gololi na hata ikimiminika chini hainasi mchanga ni nzitonzito nyekundu
 
mercury hachangamani na maji. kwenye maji itabaki kama mabonge
Nina brother wangu anayo red mercury ina kimiminika kizito na ikimwagika chini hainasi mchanga ila inaunda vigololigololi hata kwanyemaji pia nihivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…