Utatoa maamuzi gani?

Mahari atarudishiwa
Mwanaume hana haki ya kudai mahari....Kwanza yeye mwenyewe ana makosa vipi mke wako awe na mpenzi nje kama wewe huna kasoro?

Lazima kuna kitu flani yule mke wake anakikosa ndo kafata kwa boss.

Inawezekana mme hajamhudimia mke wake vizuri-ki pesa au unajua kuna mambo mengi hapo sio lazima niyaseme.

Mwanaume anaye omba mahari si mwanaume-mimi ndo naona vile, mana ya uwanaume sio kufanya sex tu na mke wako...Kuna mambo mengi ndugu yangu....Mwanaume lazima awe na aibu ya kuomba sasa anapo omba mahari nikama vile anajidhalilisha.

Yanini aombe mahari na mwanamke ameisha mtumia....Huoni hapo kama huyo mwanaume atakuwa ni mjinga.

Hapo wacha achukue kona kiutaratibu ili huyo ex wife an ex boss wazidi kumsaidia akikwama siku za mbele hahaha.
 
Ni uamuzi mgumu sana Kama vipi kula tigo ya boss au kula dada wa mke wako, mke wa boss au mtoto wa boss. Hakyanani situation Kama hizi zitanipeleka jehanamu bure.
 
Kwani mwanamme anamtumia mwanamke au mwanamke anamtumia mwanaume?
 
Ni uamuzi mgumu sana Kama vipi kula tigo ya boss au kula dada wa mke wako, mke wa boss au mtoto wa boss. Hakyanani situation Kama hizi zitanipeleka jehanamu bure.
Hii naona inaweza kulipiza.tusubiri nyingine.
 
Kwani mwanamme anamtumia mwanamke au mwanamke anamtumia mwanaume?
Mwanaume anamtumia mwanamke-kumpikia, kumzalia watoto na mambo mengi.

Na mwanamke anamtumia mme wake-kumletea haja zake.

Ngoma draw, hivyo wanaume lazima wawaheshimu wake zao hata kama walikosea step wajue wamezaa nao.

Wewe unaye uliza swali wewe nani ana thamani sana kwako.....Mama au baba??
 
Hapo kwanza boss hana kosa coz hakujua ni mke wa mfanya kazi wake. labda hajui hata kama ni mke wa mtu. Kwa hiyo haina maana kuacha kazi.
Imebaki kati ya mtu na mke wake sasa.

i agree with you!
 
am gud! Nataka nikupe tenda ya kushonea akina rr suruari maana baadhi ya memba wameanza kuwa chini ya miguu yao

hahahaha! Naitaka hiyo. Nimemuuliza chini ya miguu ya watu anatafuta nini ameshindwa jibu. Lol
 
hahahaha! Naitaka hiyo. Nimemuuliza chini ya miguu ya watu anatafuta nini ameshindwa jibu. Lol

ngoja niwe karibu na M.Melo ili ombi liende fasta fasta. Ila jamaa huwezi amini yupo busy fb kuliko huku
 
Mimi sitachangia kwa sababu nimeona bendera ya CCM hapa ndani, imenitia kichefuchefu, na log off
 
Mimi sitachangia kwa sababu nimeona bendera ya CCM hapa ndani, imenitia kichefuchefu, na log off
Usiwe mvivu,picha huwa na maana nyingi au maelezo mengi.
 
Wote wanathamani sawa,maana walishiriki kunileta duniani.
 
Wote wanathamani sawa,maana walishiriki kunileta duniani.
Hapo unajaribu kukwepa, lakini siku zote bora tuwe wa kweli....Mama ana thamani kuliko baba.

Hata Mungu katoa mfano mzuri sana kwamba mama anaweza kuazaa mtoto bila baba.

Ndo mana ukaona kuna watu wamechanganyikiwa wakasema na Mungu ana mtoto...
 
Mungu ni wakike au wakiume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…