Utatu Mtakatifu: Wanatheolojia tujadili

Utatu Mtakatifu: Wanatheolojia tujadili

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Nafsi tatu zinazofundishwa na madhehebu ya kikristo maana yake nini? Mantiki yake ni ipi? God is not a substance that can be divided into pieces.

Yako madhehebu ya kikristo yanayofundisha kwamba nafsi tatu ni God's manifestation in various occasions. Naweka hoja mezani tujadili.

Je, Mungu kweli ni watatu wenye asili moja na umoja wao unafanya wote watatu tuwaite ni mungu mmoja??
 
Nafsi tatu zinazofundishwa na madhehebu ya kikristo maana yake nini? Mantiki yake ni ipi? God is not a substance that can be divided into pieces. Yako madhehebu ya kikristo yanayofundisha kwamba nafsi tatu ni God's manifestation in various occasions. Naweka hoja mezani tujadili. Je Mungu kweli ni watatu wenye asili moja na umoja wao unafanya wote watatu tuwaite ni mungu mmoja??
Hakuna kitu kama hicho, hakuna utatu mtakatifu.
Mungu ni Mmoja, Ana nafsi moja. Na Jina lake ni Yesu Kristo.
Baba, Mwana, Roho mtakatifu ni sifa/vyeo na wala sio nafsi.
 
Hakuna kitu kama hicho, hakuna utatu mtakatifu.
Mungu ni Mmoja, Ana nafsi moja. Na Jina lake ni Yesu Kristo.
Baba, Mwana, Roho mtakatifu ni sifa/vyeo na wala sio nafsi.
Umenena vema. Nawasubiri wengine
 
Mungu ni mmoja, hana Baba wala Mama, hakuzaa wala hakuzaliwa, yeye ni Mungu wa wote habagui dini wala kabila.
 
Back
Top Bottom