Hakuna kitu kama hicho, hakuna utatu mtakatifu.Nafsi tatu zinazofundishwa na madhehebu ya kikristo maana yake nini? Mantiki yake ni ipi? God is not a substance that can be divided into pieces. Yako madhehebu ya kikristo yanayofundisha kwamba nafsi tatu ni God's manifestation in various occasions. Naweka hoja mezani tujadili. Je Mungu kweli ni watatu wenye asili moja na umoja wao unafanya wote watatu tuwaite ni mungu mmoja??
Umenena vema. Nawasubiri wengineHakuna kitu kama hicho, hakuna utatu mtakatifu.
Mungu ni Mmoja, Ana nafsi moja. Na Jina lake ni Yesu Kristo.
Baba, Mwana, Roho mtakatifu ni sifa/vyeo na wala sio nafsi.
AsanteMungu ni mmoja, hana Baba wala Mama, hakuzaa wala hakuzaliwa, yeye ni Mungu wa wote habagui dini wala kabila.