Utatu upi utafanya vizuri siku ya leo Simba Day?

C.ondoa kabisa haufai hata kuwepo.

Utatu mtakatifu hapo ni "B",,utatu huo ndo utatoa burudani ya soka mpaka peponi.
 
Leo ingefaa iwe game ya utambiisho tu na isiwe kwa ajili ya Matokeo.

Hivyo Half time kiingie kikosi kingine chote, wabadili wachezaji wote wanao anza. Ili tuonyeshe ukubwa wetu
 
Utatu upi utafanya vizuri siku ya leo

A) Pape O Sakho, John Bocco na Ibra Ajibu.

B)Mushimba Mugalu , Peter Banda na Bwalya.

C) Medie Kagere , Hassa Dilunga na Morisson
UCHURO tu hapo.
 
Leo ingefaa iwe game ya utambiisho tu na isiwe kwa ajili ya Matokeo.

Hivyo Half time kiingie kikosi kingine chote, wabadili wachezaji wote wanao anza. Ili tuonyeshe ukubwa wetu
Tukipigwa hatutaweza kujitetea kwa sababu nyepesi kama hiyo, hatuko tayari kuaibika kama Yanga.
 
Mashabiki wa Simba ndo mashabiki pekee wanaojiamini na kuujua mpira.
Sahii wanapendekeza vikosi kipi kianze,hii ni kwasababu Simba inawachezaji wa kutosha na wote wazuri.
Sasa nasikia Okwi nae ndani kakake yule Okwa wa Nigeria aliewafunga Yanga kwa Mkapa.
 
Kwa utatu huo Wananchi tutatangaza ubingwa wa 28 mapema sana, around April hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…