Utatumia mbinu gani kujua mpenzi wako ni mchawi?

Utatumia mbinu gani kujua mpenzi wako ni mchawi?

Ukiona hizi dalili
1. Hataki uwe na mchepuko
2. Anaomba omba sana hela
3. Anataka na ya kutolea
4. Anakagua simu yako
5. Hadi fail la calculator kalipiga password
6. Good night saa mbili
7. Hakupigiii Simu mpaka wewe ndo umpigie
8. Hana story na wewe zaid ya kusema nambie
9. Anachukia ukimwambia siku hizi umebadilika

Amini haupo salama ukiona dalili hizi
 
Wataalamu Kwa jinsia zote njooni mfunguke ili atleast mtuokoe vijana tusiangukie matopeni uko natanguliza shukrani
Kama anapenda kuiba vitu vidogo vidogo, soksi, nguo,bukta haswa vitu unavyo vaa, or usiku ukishtuka unamkuta yuko macho( si mara zote)
Ndoto mbaya
Mwingine unakuta anakuambia kabisa mambo ya waganga

Ni kuomba sana
 
Ukiona hizi dalili
1. Hataki uwe na mchepuko
2. Anaomba omba sana hela
3. Anataka na ya kutolea
4. Anakagua simu yako
5. Hadi fail la calculator kalipiga password
6. Good night saa mbili
7. Hakupigiii Simu mpaka wewe ndo umpigie
8. Hana story na wewe zaid ya kusema nambie
9. Anachukia ukimwambia siku hizi umebadilika

Amini haupo salama ukiona dalili hizi
Aisee
 
Kwanza uchawi ni nini ? Ukishatoa hio definition ndio takupa jibu, sababu binafsi naamini wachawi ni hawa walamba asali ambao wananyonya watu na kufuja pesa zao bila kuwaletea maendeleo Case in Point wananunua mabasi lukuki na kushangilia wakati watu hawana hata ambulance ya baiskeli kuwafikisha zahanati ambapo hata wakitembea ni kwamba hawana Bima
 
Wataalamu kwa jinsia zote njooni mfunguke ili atleast mtuokoe vijana tusiangukie matopeni uko.

Natanguliza shukrani
Masharti.. Hana free will.. Vitu vingi ataviwekea question mark kwa upande wako Lakini kwa upande wake vingi atavipigia debe
 
Back
Top Bottom