Utatuzi wa huduma za polisi - Alama ya legend Augustino Lyatonga Mrema

Jackbauer

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
6,053
Reaction score
2,207
Kwa namna ya pekee Jeshi la polisi nchini linapaswa kumuenzi aliyekuwa Naibu Waziri mkuu na waziri wa mambo ya ndani the late Augustino Lyatonga Mrema kwa kuja na mpango au kutekeleza mpango wa ugatuzi wa huduma za polisi nchini kwa kuanzisha ujenzi wa vituo vidogo vya polisi nchini.

RiP Mzee wa siku saba!
 
Gwiji wa mageuzi! Rip Mrema! Msalimie Mtanganyika Mtikila😭
 
Kwa namna ya pekee Jeshi la polisi nchini linapaswa kumuenzi aliyekuwa Naibu Waziri mkuu na waziri wa mambo ya ndani the late Augustino Lyatonga Mrema kwa kuja na mpango au kutekeleza mpango wa ugatuzi wa huduma za polisi nchini kwa kuanzisha ujenzi wa vituo vidogo vya polisi nchini.

RiP Mzee wa siku saba!
RIP Mzee wa Kiraracha, Salimia sana Mzee Meko huko
 
Miaka 60 ya jeshi la polisi ingemkumbuka huyu mwamba
 
Back
Top Bottom