Utavumiliaje penzi hili?

...hapo hakuna njia ila kuendelea kujitibu na 'tiba mbadala...'

...haya mambo magumu sana kuyahukumu kwani muathirika ni wewe,
nikisema uoe mke wa pili utaniambia imani haikuruhusu, nikikwambia uache
utamkwaza mke wako na vionjo vya sinema...

Wazee wa jukwaa hili wanasema cheat responsibly.
 
Mpwa siwezi kukupa pole nitakua mnafiki ila naomba tukubaliane au tukubaliane kutokukubaliana kuwa wewe ni mzinzi na sasa unataka u-justify uzinzi wako kwa udhaifu wa mkeo kama an excuse!!! Hata ukicheki hisia zako ktk uandishi wako unaashiria kabisa kuwa umeshamkubali sana huyo MALAYA huko nje. Jambo la maana ni kwamba wewe umeepuka kasumba ya "RAFIKI YANGU AU NDUGU YANGU" umeweza kujitaja wewe mwenyewe! Ok, mwogope Mungu na ionee huruma familia yako the moment utakapokufa kwa AIDS, Mungu akutie nguvu
 

Mbu, huyu dogo ana tatizo la kuwa too much polite. Huko anakocheat anadhan anaenjoy, lkn kumbe kinapendwa mshahara wake mzur. siku c nyingi atakuja na uzi wa kutendwa na nyumba ndogo. Aonyeshe uanaume wake ndani ya ndoa yake, asitishwe na mistari.
 
Reactions: Mbu

Lizzy, umeandika vema sana, kwenye hilo la usafi siongezi kitu, nitasisitiza tu, kuhusu jamaa kunyonywa, y yeye! alishajaribu kuonja chumvi ya utamu!

Huko anakodhani kuna amani ya ngono, si salama, arudi ndani na aact u mume na amwambie mwenzie yu mke
 
Mbu, huyu dogo ana tatizo la kuwa too much polite. Huko anakocheat anadhan anaenjoy, lkn kumbe kinapendwa mshahara wake mzur. siku c nyingi atakuja na uzi wa kutendwa na nyumba ndogo. Aonyeshe uanaume wake ndani ya ndoa yake, asitishwe na mistari.

...lol,...amejielezea kwa kirefu sana kinachomsibu kwenye ndoa yake, na sina shaka anajua
erogenous zones za 'mwanamke' ila mkewe hampi nafasi!....

...ila kwa nyumba ndogo 'mashambulizi' ni mpaka mwisho wa mchezo kiasi cha jamaa ku admit hapa hata akirudi kwa mkewe sasa anamuona kama kivuli tu.

...hii kesi ni nzito kidogo, unless kina dada mumsaidie huyu mwanamke mwenzenu anayeibomoa nyumba yake
kwa kudhani tendo la ndoa ni kutengeneza mtoto pekee.
 
Pole sana mpendwa kwa hayo yaliyokuta, kama kweli bado unampenda mkeo tafadhari achana na huyo mdada then rudi ukaimarishe ndoa yako kwan mapungufu aliyo nayo mkeo ni mambo ambayo yanalekebishika kama swala la kutokuwa mbunifu kitandan we endelea kumfundisha wala usikate tamaa atakuja kuzoea we endelea kuleta hizo movie weka hata kama hataki kuangalia na khs suala la usafi jitahidi kumpeleka taratibu atakuelewa ukimwambia mara ya kwanza ukaona hajanyanyuka nyanyuka mwenyewe utoe, ukifanya kila mara ye mwenyewe ataöna aibu na hakika utayaöna mabadiliko, kila la kheri ktk ndoa yako
 
kuwa muwazi na Mwambie mkeo unaongeza mke wa pili kwakuwa yeye hakutimizii baadhi ya mambo na unadhani kuwa mke wa pili atayatimiza. All the best!
 
Huu ndo upole usio na maana ndoani, na mwisho wake ni kwenda nje ya ndoa.

upole upi Tuko?.i told the guy to be a man,amwambie ukweli au ulitaka nimwambie aendelee kumvunjia heshima wife nje?
 
Dini yako inakuruhusu kuoa wake wawili???


Babu DC!
 
Mi naona suluhisho kamili lingetokana na mke wako pekee, jaribio la kutafuta hifadhi nje ya nyumba yako hiyo ni zinaa ambayo ukiiendekeza utamaliza mabucha kibao halafu mwisho utagundua kuwa Nyama ni ileile. Hebu jaribu kuvunja ukimya kwa kuzungumza na mkeo ktk masuala ambayo yataleta furaha ktk ndoa yenu.
 
loh! Tatizo mkeo hayuko tayari kujifunza.
Mvivu na mchafu, utatupaje nepi yenye haja chini ya uvunguni?

Mtafutie wamama watu wazima waongee na mkeo!

Swala la nyumba ndogo sijui nikushaurije maana naona mkeo asipobadili tabia hutoweza iacha kirahisi!
 
ndoa ni ngumu bro. umesema hakua anajua lolote, ni wajibu wako wewe kumfanya ajue. sina shaka umemkuta akiwa na uzi wake, safari ni ndeefu. huyo anayekuridhisha naye amefundishwa. mkeo ni bora zaiidi kuliko huyo. kama hakuelewi wako wakubwa ( shangazi, bibi nk) watakusaidia.
 

hahahaha, Dah sipati picha jamaa ikichukua ushauri wako jinsi ulivyo na kuufanyia kazi!!
 

Nimeipenda hii zaidi!
Ila kuhusu uchafu, nadhani unapaswa kuwa strict zaidi! umwambie hupendi anavyofanya kwa maneno na matendo.
 
Nimeipenda hii zaidi!
Ila kuhusu uchafu, nadhani unapaswa kuwa strict zaidi! umwambie hupendi anavyofanya kwa maneno na matendo.

Asante bob lee,nakubaliana nawe pia kuhusu uchafu,he has to really be strict ikibidi..my main point is,hakuna kitu nzuri like your own art work,.akifanikiwa kumueka mkewe in the ryt track and mke awe expert,he will be looking back akisema,'i did this,and atakua proud..or atleast,he tried his best..
 
matatizo ndo hayo sasa mlioanaje bila kujuanan ki undani hasa kunako 6 kwa 6???????????
 
mkuu hebu soma nkitabu cha TUNDA LILILOJEMA ndani ya bible hakika mkeo hatakataa chochote kile unachotaka
 

Hii stage keshapita kaka,

Inawafaa watu amabao wanafuata kanunii za The Boss to the letters....

Huye keshapata hata mama mkwe...atajitoaje huko kwa small house??

Babu DC!
 
Pengine kwao ni wacha mungu sana so suala zima la kufundwa kuhusiana na habari za kitandani hakupewa....ila uchafu ni hulka yake,inaelekea hata chupi anarudia huyu mkeo.

Kwakuwa umeshindwa kumkalisha chini na kumueleza juu ya kile unachopenda ukiwa nae faragha au kwa namna moja au nyingine ameshindwa kukuelewa....atakuwa anahitaji wamama wafundaji,wamfunde hapo hapo nyumbani kwake.Wale wanajua ku-present message inayotakiwa labda wewe umeshindwa kujieleza kwake..

Kuna mama mmoja ndio kazi yake,anaitwa Mama shughuli anaishi kinondoni. Number zake ni 0719 952114.. Pengine akakusaidia kuhusiana na tatizo la mkeo.
 
Yani dogo sijui niseme nini, unacho chakula cha nyumbani unaenda kula cha mama ntilie.


Pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…